Huyu mteja kaniacha na maswali lukuki

nawajua watu wa namna hyo, sometimes anakua anatafuna dawa yani ukiongea nae unahis kabisa unasisimka mwili mzima, hana lolote anataka akutapeli
 
Ulimwengu wa biashara umetaliwa na nguvu, moja nguzu nyeusi au nguvu nyeupe
 
Biashara yako utakuwa unaiendesha kishirikina , washirikina kwa washirikina ndo mambo huenda hvyo
 
Namshukuru Mungu Kwa kweli napata kipato..aloyonieleezea SI mageni hapa nimezoeana na wapemba hapa hizo ndo stori zaom.
Hali iliyonitisha ni hiyo ya kusisimka
 
Kuna stori nilisikia. Wanakuja kama wanataka kukupa msaada, hua wana genge lao wanajifanya wanakuja kununua kwa wingi. Kumbe ni wao. Hapo utaona kama dawa yao inafanya kazi kisha watakwambia ongeza au wape hela kubwa ili biashara ichanganye zaidi. Hapo ndipo hupotea na hutowaona tena. Kazi kwako, za kuambiwa ongeza na zako.
 
Trust me yeye sio WA kwanza kunipa hizo stori...
Na yeye kati ya wateja wangu wakubwa kanunua kawaida sana..
Mimi concern yangu japo mnamuita tapeli...ila Ile hali ya kusisimka yaani kwake nimeiyona maana vipelee vimemuota na Mimi nilikua nahisi hivyo
 
Stor za mambo hayo haya maeneo nilipo wanazipigaga casually tum..yaani kawaida.
 
Usipokee dawa zake, anataka akuunganishe kwenye vitu ambavyo vitakutesa huko mbeleni.
Ile wewe kutetemeka kuna kitu kigeni kipo kwako ambacho amekuwekea kinachompa taarifa zako.
 
Hili tukio la kusisimka ndiyo limekuaminisha ya kwamba unahitaji msaada wa dawa zake? Hapana! Aisee. Ukiingia huko, hata hiyo biashara yako utaishia tu kuifunga.

Mimi ni kati ya watu wasioamini kabisa uwepo wa uchawi katika biashara.
 
Ingekua mapema ungeenda kanisa lololte la katoliki ukawaomba maji ya baraka ujimwagie
 
Biashara yako utakuwa unaiendesha kishirikina , washirikina kwa washirikina ndo mambo huenda hvyo
Naapia Kwa jina la Mungu sijawahi hata kueka kijiti Cha mtu shamba ...yaani sijawahi naridhika na nipatacho..ni kikubwa sana japo Kwa wengine labda ni kidogo
 
Hili tukio la kusisimka ndiyo limekuaminisha ya kwamba unahitaji msaada wa dawa zake? Hapana! Aisee. Ukiingia huko, hata hiyo biashara yako utaishia tu kuifunga.

Mimi ni kati ya watu wasioamini kabisa uwepo wa uchawi katika biashara.
Yaani kwanini nimesismka...yeye anasema ana wadudu hao wanaotaka awe mganga....ila Mimi kwanini Sasa nisismke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…