masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
- Thread starter
-
- #41
Eeeh unanitisha zaidi uwiii....ndo Leo nimekutana nae ana Kwa anaUsipokee dawa zake, anataka akuunganishe kwenye vitu ambavyo vitakutesa huko mbeleni.
Ile wewe kutetemeka kuna kitu kigeni kipo kwako ambacho amekuwekea kinachompa taarifa zako.
Eeeh na yeye alikua ana sisimkanawajua watu wa namna hyo, sometimes anakua anatafuna dawa yani ukiongea nae unahis kabisa unasisimka mwili mzima, hana lolote anataka akutapeli
Kwani we biashara yako ilikuwa haendi. Maana isije kuwa anakuset utaanza chukua dawa kila uchwaoI don't know meeen!
But I felt the thing.i don't know....
Mmmh yaani ili iweje Sasa .uyu mteja unajua anafanya biashara gani yeye?
makazi yake?
kuwa mteja wa kila siku sio hoja tosha
anaweza kuwa alikuwa anakulia timing ukiwa at your most lowest.
ni mipango tu.
na izo story mlizopiga ilikuwa ni psychology tricks
kuna maswali ukiulizana na mtu ananza kufunguka mwenyew na kubuild trust ata kama ni muda mfupi tu.
ndo wanaume tunatumiaga kuwatongoza!.
MANENO ULIOLISHWA NIKAMA PLACEBO!...
ILA ANYWAYS EMB JARIBU KUMDADISI
Yaani kifupi kilichonishangaza ni Ile hali ya kusisimka balaaa.duh hatari
Kasema wazi ana wadudu...labda kakutana na damu ya yesuSababu ya kusisimkwa ni kwamba umekutana na mtu si mzuri, kuna uwezekano mkubwa ni kiti cha majini...
Sasa hao hawapishani na wanaotuma sms za waganga , ni tapeli tuuNaapia Kwa jina la Mungu sijawahi hata kueka kijiti Cha mtu shamba ...yaani sijawahi naridhika na nipatacho..ni kikubwa sana japo Kwa wengine labda ni kidogo
Kasema wazi ana wadudu...labda kakutana na damu ya yesu
Eeeh unanitisha zaidi uwiii....ndo Leo nimekutana nae ana Kwa ana
Tangu uanze hio biashara una mda gani? Kuna jambo lolote baya limewahi kukuta kabla ya leo?Nimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.
Japo ukweli nimechoka lakini haiondoi maana kwamba hali yangu imebadilika tangu alivyokuja.
Huyu bibie kaja mchangamfu kafunga na hijabu...anaonekana mkarimu na Mimi nikamkarimu.
Tukaulizana maswali mawili matatu kuhusiana na bidhaa atakazo ghafla tukazama kwenye story kuhusu biashara yaani from 0-100
Fasta nimekua nikimzoea .
Sasa sijui nini kilipelekea tukaanza story za biashara na watu kuzitilia nuksi...yaani kukuwangia.
Kidogo akasema dada Mimi Nina watu kichwani..tangu nimekuja hapa nasisimka...alivyosema vile na Mimi nimeanza kusisimka hatariiii....
Yaani kama kanichaji hivi ..
Ndo akasema nimuhudumie aende maana anajisikia hovyo.
Akaniambia serve namba yangu j3 nitakuletea dawa.
Akasema yeye alikua awe mganga ila hataki hao watu ndo wanamlazimisha kwa kua baba yake alikua mganga.
Sasa nikaservw namba nikamtext wasap...nasubuliri jibu..
Wakati akiwa pale dukani nilikua nasisimka kama yeye..yaani yeye mpaka vipele vimemsimama...
Alivyoondoka TU nikarudi kawaida navuta hisia nisismke wapi wala sisisimki tena....
Ila deep down in my heart napaona kwenye goli langu pamekua pazito ...na yeye kanidhibitishia kwamba pale SI pazuri....wapendwa niombeeni wanaofanya biashara na Mimi ni wapemba.
Ila kasema ataniletea dawa ..niipokee au niganyaje ila Kwa hali niliyokua nasisimka akisema nasisimka na Mimi nahisi yaani dah ila sikumwambia Kwa muda ule kwamba na Mimi nahisi hivi..
Hapana..hamna jambo lolote bayaTangu uanze hio biashara una mda gani? Kuna jambo lolote baya limewahi kukuta kabla ya leo?
Pokea ili nahicho kidogo ulichonacho kiondokeNimeona niingie jamii forum kupoteza mawazo ila Bado akili imechanganya changanya hivi...nahisi kichwa sio kichwa nahisi vibaya vibaya.