mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.Nadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.
Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?
Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?
CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
kwa hiyo hii yeye huwa anapewa na wafanya biashaea kama zawadi au kama hela yake ya kujikimu, make mfanyabiashara yyte lazima alipie kodi iweje wampe mkuu wa mkoa?Huenda hawana ushawishi, ubunifu na hawachangamkii fursa. ma DC na RC wengi wana maafisa habari lakini taarifa za kazi zao ni nadra sana kuwekwa public. hii inaonesha wao si ombaomba na hawati sana umaarufu kwa migongo ya wengine.
hahahaha...umeichangamsha asbh yangu mkuu. kwa style hiyo hata ingekuwa ni mimi msaada natoaNdugu yangu umesahau, anazowapoka wakina MO, GSM, MANJI, na wote anaowasingizia kuhusu madawa ya kulevya. Pili usisahau dili zote za uhujumu uchumi na kuteka watu anaratibu yeye, kwahiyo mzigo wote anapokea yeye. Tatu hata la ununuaji wa wapinzani analatibu yeye, kumbuka na ile T 2.4 wanazo yeye na baba yake.
Iko siku huu udhalimu anaoufanya utajulikana hadharani. Sasa hivi wanafanya wizi na unyang'anyi wa wazi wazi kwa kisingizio cha Hapa Kazi tu na Uzalendo. Hata Maliyamungu na Bob Astles waliogopwa sana miaka ya 1970s kwa kuwa Iddi Amin ndiye alikuwa anawakingia kifua. Ila baada ya Iddi Amin kufurushwa walinyakuliwa kama panya buku. Siku za Bashite zinahesabika, sijui wapambe kama wewe mtaficha wapi sura zenu.Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
kumbuka huyu siyo mfugaji wa ng'ombe, ulaji wake unategemea kodi yakoKwao wanafuga ng'ombe wengi tu kama walivyo wasukuma wote. Kama wanaweza kuoa kwa mahali ya ng'ombe sitini (60) mwansmke mweupe milioni kumi si kitu kwake.
na bila kuhojiwaMie sishangai akitoa 10M, nashangaa confidence yake ya kutoa hiyo pesa zama hizi
some have a spirit of giving back to the society. hence they use him as a right stream. I think.kwa hiyo hii yeye huwa anapewa na wafanya biashaea kama zawadi au kama hela yake ya kujikimu, make mfanyabiashara yyte lazima alipie kodi iweje wampe mkuu wa mkoa?
hivi nikiwa na biashara yangu nikaja kutoa hela kwa mkuu wa mkoa ambaye ni mtumishi wa serikali, kesho au kesho kutwa nikiwa na tatizo lolote hata la ulipaji kodi au uvunjaji wa sheria atakuja kuniweka hatiani? kwa hiyo unakiri hadharani kuwa anahongwa ili kuwasaidia mambo yao fulani kwa kuchukulia advantage kuwa wanatoa msaada kwa jamii kwa vijisenti huku wakusamehewa mabilioni? kati ya hizo unajua ni kiasi gani anaweka kibindoni? transparency inahitajika hapa mkuu.Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
Subiri waamke.mods rekebisha Kichwa cha habari Anatia=Anatoa
We unauliza swali au jibu? Hazina ya nchi inashikilia na mkulu menyewe ambaye amemuweka mtoto a dada yake kwa hiyo anachota anavyotaka ukizingatia bunge letu haliulizi maswali limeshafungwa gavana. Kama ulivyosikia matibabu ya Ndugai yamegharimu bilioni 27!!! huu ni wizi. Makonda kuwa na pesa sana sishangai, na siyo huyo tu Tulia atkson pesa anapata wapi za kugawa kama njugu? jibu wanachota hazina maana mambo ya check and balance yamefungiwa kabatini sasa hivi tunaimba mapambio ya sifa na kuabudu huku watu akipiga kama haana akili nzuri.
Maadili ya utumishi wa umma yanasemaje kuhusu kupokea zawadi, zinawekwa akaunti gani na nani anazifanyia auditing. Tutajuaje hao wafanyabiasara hawatoi hongo ili mambo yao yawanyookee, usitufanye wote humu ni mazuzuUfafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
Naambiwa kuna fungu fulani ni maalum kwa watu fulani kutapanya kwa malengo ya kisiasaTulia a.k.a Nyanya Rukia a.k.a Bettina anagawa pesa kama pedeshee kule Mbeya
Ufafanuzi alikwisha utoa kitambo sana ,ni hivi yeye huwaomba wafanyabiashara na taasisi baadhi zenye ukwasi kumsaidia pesa anapotaka kufanya jambo la kusaidia jamii, taasisi , wafanyabiashara hata watu wakawaida tu, humpatia bila mashariti na wengine hawapendi kujitangaza ila huweka rekodi zao sawa,mfano marehemu Mengi.
Kama wewe huwezi toa na saidia wapo wakielezwa wako tayari kutoa kwa moyo mmoja .
Ulichokileta hapa ni kutaka kupika majungu,ndicho tulichobaki nacho watanzania kama mtaji wetu
Mkuu tindo sijapata malalamiko ya mtu alielazimishwa na Makonda kutoa chake halalli,bali Makonda ni mbunifu katika kuwapiga mzingaJe ni kweli huwaomba au hutumia madaraka yake kuwatia hofu ili apate hizo hela?
Zinajaziwa form na kuhifadhiwa au unatangaziwa wewe?Maadili ya utumishi wa umma yanasemaje kuhusu kupokea zawadi, zinawekwa akaunti gani na nani anazifanyia auditing. Tutajuaje hao wafanyabiasara hawatoi hongo ili mambo yao yawanyookee, usitufanye wote humu ni mazuzu