Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Hawezi kutekwa, kwani si atakuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia?.Aende akamteke?
Call me J!!Kolomije boy.
Watu wanajilipua tuhahahaha...umeichangamsha asbh yangu mkuu. kwa style hiyo hata ingekuwa ni mimi msaada natoa
Hawezi kutekwa, kwani si atakuwa anatumia haki yake ya kidemokrasia?.
ndo maana amejaa minoti ambayo anamwaga nje na mshahara wake na hakuna wa kukohoaMkuu hizi ni pesa zetu walipa kodi zinazochotwa kinyemela na kubwa la majizi AKA kichaa jiwe pale hazina kupitia VOTE 20 na VOTE 30. Ndiyo sababu huyo bashite hawezi kuguswa maana anazijua siri nyingi zilizojaa maovu ya kutisha yanayofanywa na Bugiri. Na Bashite ndiyo mbeba mazabe yote ya Bugiri.
hiyo ndo pointi mkuu, ina maana anawaziba hata wauza unga wamletee gela kwa kisingizio kuwa atatoa msaada kwa jamii kumbe hela yenyewe ni chafu.Mkuu yeye ameamua kuhoji hizo za Kaseja, ww ulitakiwa ulete hizo habari za mema. Ila hata kama ni mema inapaswa chanzo kieleweke isije ikawa mtu akauza unga akatoa ili kutakatisha pesa chafu.
hahahahaaa, hilo jibu, asante kwa kunijibia mkuu, atakuwa ameelewa.Hili ni jukwaa la siasa ndio maana huu uzi uko huku, asingehoji kisiasa ungekuwa kwenye jukwaa la mapenzi au lingine husika.
hanitakii mema mkuu huyo, inaonekana wako pamojaAende akamteke?
Dah nimechelewa kuiona hii mada... Ngoja nitarejeaNadhani watumishi wote wa serikali mshahara wao unajulikana, lakini inapokuja mtu mmoja anatoa misaada ambayo ipo nje ya mshara wake, inaleta uwalakini. Mtu huyu amekuwa akifanya kazi nzuri sipingani na hilo, ni mtumishi ambaye kiwango chake kinajulikana kwa mwezi kama wakuu wa m*** wengine. cha kushangaza ukimuangalia bado ni kijana mdogo ambaye ni majuzi juzi tu ameingia serikalini ingawa ana kinga na namba one.
Hana biashara kama akina Mo ya kusema kuwa hela zake anazivuna kutoka huko.
Sitamtaja jina ila ametangaza tena baada ya Taifa Stars kushinda jana atampa golikipa milioni kumi, sina chuki na hilo la kuhamasisha, ni vizuri sana kufanya hivyo lakini katika fungu gani hizi hela unazogawa gawa unazitoa? Asante kwa kujitolea kuwatibu wagonjwa tofauti, kuwatolea michango kwenda kutibiwa ndani na nje ya nchi, kuhamasisha katika michezo, tena nia yako ni ya kuigiwa ila mkuu pato lako ni lipi?
Mbona wenzako ambao ni wakuu wa *****kama wewe huko mi*** kwao hawatowi misaada kama hiyo, na tunajua mishahara yenu ni sawa sawa. Wabunge, Mawaziri, Wafanyabiashara wote hawana kapu la hizi hela la kutoa misaada kama hii. Nisiwachoshe la msingi huyo mheshimiwa, na mtumishi mkuu, anatoa pesa wapi za kutoa misaada ni kodi zetu au...?
CC: BAK, Mshana jr, Tindo.
inaonekana mambo yaliingiliana Mshana jr.Dah nimechelewa kuiona hii mada... Ngoja nitarejea
Bwana busy and a half....inaonekana mambo yaliingiliana Mshana jr.
kwa hiyo ndiko anapata mlungula wa kutoa zawadiMkoa huu una Watanzania wengi wenye asili ya Asia, huenda hujumuika nao kule Jamatini na ndipo humpa tafu la ngawira, ama pia anaweza kanisa lake "Kolomije Revival Church" na yeye ndiye mbeba maono na kapu la sadaka. Huwezi jua mazee.
kwa hiyo ndiko anapata mlungula wa kutoa zawadi