Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Huwa wadada wanakuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha na kujirekodi video wakiwa kazini kwao kwenye ma bus.

Nchi yetu ina wajinga wengi sana. Hata akitokea bank teller anajipiga piga picha akiwa kazini kwake. Ghafla anakuwa maarufu.

Sio yeye tu. Kuna wadada wengi wamekuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha wakiwa kazini kwao. Mfano Teacher Joy mwalimu wa watoto. Hadi azam tv wakampa kazi sababu ya mbinu yake ya kujipiga piga picha akiwa kazini kwake shuleni anafundisha watoto
 
Wa kawaida sana hutu.
Yaan katika mademu wakali huyu anaingiaje??
Kipi hasa kinachovutia kwa huyu Binti?
Sura yenyewe full editing
 
Dada mwenyewe mbn WA kawaida Sana yupo normal tu [emoji23] nina kengeza jmn
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…