Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Mnaibiwa na snap
Mi naona hela zangu ni zote mkuu.
IMG_20230720_121608_365.jpg
 
Huwa wadada wanakuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha na kujirekodi video wakiwa kazini kwao kwenye ma bus.

Nchi yetu ina wajinga wengi sana. Hata akitokea bank teller anajipiga piga picha akiwa kazini kwake. Ghafla anakuwa maarufu.

Sio yeye tu. Kuna wadada wengi wamekuwa maarufu sababu ya kujipiga piga picha wakiwa kazini kwao. Mfano Teacher Joy mwalimu wa watoto. Hadi azam tv wakampa kazi sababu ya mbinu yake ya kujipiga piga picha akiwa kazini kwake shuleni anafundisha watoto
 
Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na urembo wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa kifupi ni kawa maarufu kiasi kwamba wamiliki wa basi la Bm wamemwaga mamilioni ili kumsahili kutoka kampuni yake ya zamani ya Tilisho.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

View attachment 2695526

View attachment 2695527

View attachment 2695517
View attachment 2695518
Wa kawaida sana hutu.
Yaan katika mademu wakali huyu anaingiaje??
Kipi hasa kinachovutia kwa huyu Binti?
Sura yenyewe full editing
 
Kama umewahi kupanda ndege bila shaka umewaona wahudumu wa mle ndani huitwa air hostess basi na mabasi nao sikuhizi wameweka bus hostess.

Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na urembo wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa sasa yupo kwenye mabasi ya BM, hii ni baada ya BM kumpa ofa nono zaidi kuliko alikotoka.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

View attachment 2695556

View attachment 2695550

View attachment 2695551

View attachment 2695553
Dada mwenyewe mbn WA kawaida Sana yupo normal tu [emoji23] nina kengeza jmn
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom