Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.
Kwanza hamna kitu hapo, hako katoto hakana uzuri wowote ni just a style ya upigwaji picha na location camera ilipokaa ili mumpate vizuri.

Akakae tu pale kwenye benchi la kidia nje alafu apigwe picha umuone kwenye uharisia šŸ˜„.

Kwa old school wenzangu mliopanda Scandinavia Express miaka ya 1998+ kwenye Viagio la Dar -Arusha au Nairobi kuna mrembo alikuwepo namkumbuka alikuwa anaitwa Pendo, kwa anayemkumbuka nadhani anaweza kupinga hapa.

Hivi vitoto siku hizi mnaokota tu huko na kupakiza kwenye mabasi kisa luxury wala siyo smart and cute bana šŸ˜…!.
 
Nimekuja spidi kuicheki hyo Pisi kumbe ni full editing 😔
 
Huyu demu ana SURA NZURI Ila kumuita mrembo Hadi kumfungulia Uzi ni dharau Kwa warembo
 
Ungepinga hoja yake bila kumuattack mtu....
Ma great thinker wanadiscuss hoja sio mtu
 
Alikuwa Kampuni ya Tilisho.
Naona BM wamefika Bei.
Naona umeshoboka na puti
 
Hiyo kaz ya kuweka wadada kwenye gar sielewag maana yake due to the fact that hawana kaz zaid ya kutangaza vituo
Hata mizugo hawapakii kwenye gar
Kwani air hostess wa ndege Wana kazi gani zaidi ya kudemostrate jinsi ya kujiokoa
 
Noma sana ,kila mwaka anazuka mtu ana trend ,alianza Kanyaboya ,Kibokomsheli ,maumba ,sancho ,vandame , tazan ,piere liquid ,zuwena ,mandonga na sasa binti wa Tihilisho BM.
 
Mrembo
 

Attachments

  • Screenshot_20230721-220031.png
    132.3 KB · Views: 13
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…