Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una akili kama zangu ndo mambo yangu hayo kuna kaunta nishawahi kumpiga mashine ofisini kwake hapo hapo. Alafanya tu kufunga milango kwa ndani ili kwa nje paonekane pamefungwa kumbe ndani mtu kainamishwa kwenye sofa la humo ndani huku mziki wa blues unapiga mdogo mdogo. It was so fantastic. Yule manzi ananipendaga mpaka leo.Msogeze karibu uwe kama unamnong'oneza kisha mpige mate
Cc To yeyeBado tunakatana macho kwa kuibia na yeye
Hio mpaka umix na kinywaji kingine ukipiga kavu lazima urudishe chenji kauntaBado valuer ni pombe kali mno nilijiapiza sitakunywa tena valuer
Nikinywaga laZima nirudishe chenji
Mpiga puff mwenzio huyo, amemezea fegi....Sasa nipo pembeni kidgo na puff
🤣😅Hio mpaka umix na kinywaji kingine ukipiga kavu lazima urudishe chenji kaunta
Shetwain kakaba 😄 no kuchomoka hapoKwa tulipofikia siwezi kumwacha
Poa kabisa. Merry Christmas!🤣 Maghayo uko poa we mkaka?
Ili kuikabili vAleur unatakiwa uwe umepiga nyama na zimekaa tumboni na ndivyo nilivyofanya mimi. Leo itafahamikaNaona umeshapoteza memory kuwa mke.
Valuer hatari sana.
😅🤣 January Kuna ada
Mwite na huyo nimtongoze
SUBIRINI MUONENimetimba kwenye ka liquor store flani mida ya saa 12 jioni nime wakuta majamaa watatu wamezungusha serengeti lite kaunta nzima, nikawapa hi alafu nikaongea na dada wa kaunta anipe valeur kubwa alafu kimyaaa. Muda huu imeisha hawa Majamaa wanabishana mambo ya ligi ya uingereza nimeagiza tena valdur ndogo ndo naifungua hapa, nikamuuliza dada wa kaunta vip una kiberiti? Akasema kipo ila kina njiti moja.. Nikamwambia nipe... Sasa nipo pembeni kidgo na puff some huku tunapigana eye contact na dada wa kaunta, anakuwa kama anataka kutabasam hivi ila hatabasam na analegeza macho kama ananipa ishara flani hivi. Atakuwa ni muumini wa show za kibabe huyu sasa we ngoja.