Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Siku zote ukweli kuhusu kifo ANAUJUA MAREHEMU TU!View attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Siku zote ukweli kuhusu kifo ANAUJUA MAREHEMU TU!
Hata mahakama na vyombo vya usalama huwa wanakisia tu.
Ni kweli nakumbuka yule alimkatakata mke wake na kuchoma moto kwa mkaa mwili wake.Huu mkasa unawafikirisha watu wengi sana,why?
Kwa kiasi kikubwa watu hujidhuru wakiamini huenda watakuwa na uhafadhali baada ya hapo.
Enhe ieleweke kwamba mtu hawezi kumfanyia mwenzi wake kitendo hicho au hata chenye maumivu tofauti na kuua mtu asiyemmpenda ingawa baadhi ya watu hawahusiki kabisa humo.
Hivyo ukifuatilia kiundani utakuta kitu kama usaliti,mali,wivu n.k.Ingawa humo humo vipi vyenye faida na hasara.
Binafsi sioni kama ni tukio la kufirisha saaaana kulingana na yanyotokea katika jami na yanayolingana na hayo isipokuwa SIUNGI MKONO.
Kwani yule aliyemkatakata na panga mkewe na kwenda kuvichoma vipande shambani na yeye si kama huyu,mtoa uzi unakumbuka?
Sasa hayo matatizo yapo.Je,nini nifanyike?
Kwa sababu mbinu za kukweka mikasa kama hii ipo lakini kwanini matukio yanatokea?
View attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Kesi kama hizi za mapenzi naonaga kifungo hakizidi 5yrs mtu yupo uraianiView attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.
Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.
Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
Yes maumivu yapo mkuu,kunawakati uwezo wa akili unashindwa kabisa kutumika.Ni kweli nakumbuka yule alimkatakata mke wake na kuchoma moto kwa mkaa mwili wake.
Pale unapopanga wewe au kwa ushirikiano na baadae mshiriki akaggsuka.Je hii hasira inatoka wapi?
Wapo watu wanasalitiwa na wanasonga mkuu.NISEME HAPANA isipokuwa wapo watu wanaweza kufanya maamuuzi magumu kwa kosa hilo.Hasira ya kinyama, ni kusalitiwa ?
HAPANA.Ni kuibiwa?
Hili nalo lipo na uzito wake japo haupimiki mara kwa mara,Jamii nyingi zinapitia suala hili.Ni mke kumzidi kete mume?
Ni kweli nakumbuka yule alimkatakata mke wake na kuchoma moto kwa mkaa mwili wake.Huu mkasa unawafikirisha watu wengi sana,why?
Kwa kiasi kikubwa watu hujidhuru wakiamini huenda watakuwa na uhafadhali baada ya hapo.
Enhe ieleweke kwamba mtu hawezi kumfanyia mwenzi wake kitendo hicho au hata chenye maumivu tofauti na kuua mtu asiyemmpenda ingawa baadhi ya watu hawahusiki kabisa humo.
Hivyo ukifuatilia kiundani utakuta kitu kama usaliti,mali,wivu n.k.Ingawa humo humo vipi vyenye faida na hasara.
Binafsi sioni kama ni tukio la kufirisha saaaana kulingana na yanyotokea katika jami na yanayolingana na hayo isipokuwa SIUNGI MKONO.
Kwani yule aliyemkatakata na panga mkewe na kwenda kuvichoma vipande shambani na yeye si kama huyu,mtoa uzi unakumbuka?
Sasa hayo matatizo yapo.Je,nini nifanyike?
Kwa sababu mbinu za kukweka mikasa kama hii ipo lakini kwanini matukio yanatokea?
Wakati mwingine uhalisia wa jambo huwezi kuuficha, limetokea liwe funzo kwa jamii!
Yaani kilichowatenganisha katika upendo ni mali!Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Women can be devils!Hebu tusome hii statement ya Wicknell Chivayo aliyoandika kwa uchungu tarehe 20 march 2026
While I am BUSY enjoying life and feeling deeply LOVED by my ONE AND ONLY WIFE, celebrating our FIRST YEAR ANNIVERSARY in Switzerland, Milan and LONDON my attention has been drawn to some BIZARRE and profoundly OUTRAGEOUS videos circulating on social media. I am told by concerned friends and FAMILY that a woman I USED to call my wife has some “Terms & Conditions” for BARIKA 😂😂😂. As REGRETABLE as this clearly is, I must also say that it is LAUGHABLE !!! This comes barely few weeks after I came across yet another SENSATIONAL and ABSURD video in which it was alleged that I had spent THREE HOURS begging to see her. Quite frankly, the COMPLEXITY of my business commitments and the quality of life I now enjoy would NEVER allow me to spend 3 good hours sitting in a 2026 Rolls-Royce begging to see an EX-WIFE at a property that I bought with my OWN MONEY. Some lies and fabricated stories are so incoherent and clumsy that they expose themselves.
Unfortunately, MY WIFE AND I have received a BARRAGE of messages and calls from friends and relatives, some of them even sarcastically “congratulating” me over an IMAGINED polygamous development. Allow me to be VERY CLEAR on this one, that will NEVER EVER EVER happen. I have absolutely NO intention, whether now or at any point in the future, of reuniting with my ex-wife under any circumstances or in any emotional or marital sense whatsoever. I spent 7 GRUELLING YEARS with that woman and that chapter of my life is CLOSED and HISTORICALLY CONCLUDED. I am HAPPILY MARRIED and at peace. I do not revisit chapters that nearly broke me simply because somebody else has failed to move on.
During the years I spent with that woman, I endured EMOTIONAL ABUSE which left deep scars mentally and spiritually. In February 2024, she returned home VISIBLY DRUNK at 2 a.m and made it unequivocally clear that she wanted nothing further to do with me, akandipa US$1 se GUPURO. I accepted it with a HEAVY HEART and pain for my young children, but also with so much RELIEF as this was a moment of EMANCIPATION from EMOTINAL SLAVERY from an institution I thought will bring peace and companionship.
View attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Huyo mwanaume hana cha kupoteza, kwa kuwa anasubiri kifo tu kutokana na maradhi yake, hivyo akaona bora wakose wote yeye na mkewe.Yaani kilichowatenganisha katika upendo ni mali!
Mali kweli ni shetani!