Miss_deejjah
Senior Member
- Jul 17, 2026
- 167
- 355
Idadi ya wanaume wanaouwa wanawake ni kubwa ukilinganisha na wanawake kwamba wanaume hamkuubwa na uvumilivu ama shda n nn
Uko sahihi, mke alikua anataka umiliki halali wa mali za mumewe, kuogopa baadae ndugu wa mume kumpora.Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yake
Sasa kama alikuwa na kansa na hatapona anagombea nyumba ya Nini wakati mke atabaki na watoto? Mi naona lilikuwa wazo zuri zaidi kubadili hati ili asitokee mtu akadaiInasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Kumbe wee uko na persecution zako tayari, umeambiwa kuwa mumewe ni mgonjwa na hawezi kupona, unasema eti university graduate, unadhani ndugu wa mume wanajari hilo?Unapopokea habari use your common sense filter unachoambiwa, kuna uongo unaweza kuubaini bila hata kuujuwa ukweli.
Kwahili huu ni uongo naelewa vizuri sheria za Mirathi hakuna wa kumnyang'anya chochote mjane na watoto wake, tena mjane ni University graduate ana exposure ya kutosha.
Ukweli unafichwa mwalimu wao ni Haika wa Mbezi Garden baada ya kuachika na Phares Magesa amedhamiria kuvunja ndoa za wanawake wote wasiojielewa in the name of Wanawake lazima umiliki mali.
Upumbavu mtupu.
Hii story ya kansa haijakaa sawa. Maana anangangangania Nini na tayari Hana siku za kuishiSiyo kweli, unaanza vipi kumnyanyasa mjane, University graduate, amezaa watoto watatu na kiwanja pia ni chake hata kisingekuwa chake hapo Mirathi ya mume ni ya mke na watoto wake.
Kwa nini mnadanganywa kizembe hivi?
Wanajua wenyewe hao wahusika. Wacha tusubiri tuone.Sasa kama alikuwa na kansa na hatapona anagombea nyumba ya Nini wakati mke atabaki na watoto? Mi naona lilikuwa wazo zuri zaidi kubadili hati ili asitokee mtu akadai
Hii story ya cancer is not adding up! Usikute kagongewa mke na ushahidi umo! Au hii nyumba ni yangu wewe huhusiki wakati mwamba kajengaWanajua wenyewe hao wahusika. Wacha tusubiri tuone.
Hizo hazijasikika, ila ni cancer na kugombania umiliki halali wa mali.Hii story ya cancer is not adding up! Usikute kagongewa mke na ushahidi umo! Au hii nyumba ni yangu wewe huhusiki wakati mwamba kajenga
mtazamo wako ni tofauti kidogo.View attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
message na picha ya nn sasa dr weweView attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.
Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.
Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
Manslaughter na bunduki,manslaughter na migogoro yote iliyokuwepo kabla? Manslaughter wakati inatajwa jamaa hakuwepo miezi miwili aliporudi Moja kwa Moja akaua.Hapo hakuna manslaughter mkuu,hii ni murder.View attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.
Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.
Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
da ni nini nyumba si yafamilia unakufa weka hata jina la mtoto maana majina mawili ni utata kwa matumizi ya mbeleni na mikopoInasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.
Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Director kakosea script?Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?
Wanajua wao wenyewekujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee
shi
da ni nini nyumba si yafamilia unakufa weka hata jina la mtoto maana majina mawili ni utata kwa matumizi ya mbeleni na mikopo
nimekuona ukang;ang;ania swala la kansaWanajua wao wenyewe
Sote twatakiwa tujiulize?View attachment 3684108
Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Nani alimuona akiuwa?Manslaughter na bunduki,manslaughter na migogoro yote iliyokuwepo kabla? Manslaughter wakati inatajwa jamaa hakuwepo miezi miwili aliporudi Moja kwa Moja akaua.Hapo hakuna manslaughter mkuu,hii ni murder.
Ndivyo nilivyosikia kutoka kwa m1 wa mtu wa karibu na hiyo familia.nimekuona ukang;ang;ania swala la kansa