Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Kumbe wee uko na persecution zako tayari, umeambiwa kuwa mumewe ni mgonjwa na hawezi kupona, unasema eti university graduate, unadhani ndugu wa mume wanajari hilo?
Nimepokea simu ya msiba one of my Sister leo amefariki katika ajali wakati amesafiri kwenda kumuona mgonjwa ambaye kimsingi nilipopokea simu hiyo nilijuwa ni taarifa ya yule mgonjwa kafa, kumbe amekufa mzima mgonjwa yuko hai.

Nyinyi binadamu mna shida sana, narudi palepale nasimama na hoja yangu ukiachana na uchaga wao, hakuna wa kumnyang'anya huyo kama mume wake angefariki.

One study case nina rafiki mchaga amefariki miaka kadhaa sasa alio mke na hawakuwa na mtoto, lakini mwanaume alikuwa na watoto wawili, alipofariki hakuna mchaga aliyehangaika na mali zake zaidi ya kuteuliwa msimamizi mzuri wa Mirathi kumuongoza.

Yupo, mali zipo na anazimiliki yeye na biashara ya hotel anaendesha yeye.

Bado haujanishawishi mwanamke msomi kama huyo Jane Urassa eti aogope ndugu watampora mali si kweli.

Kama ni kweli mtu yupo kwenye stage hiyo ya cancer anahitaji upendo zaidi kuliko kuwaza mali.

Ukute hapo jamaa waweza kuta ana mwaka ajapewa uchi halafu unakuja na swaga za ******* lazima umwagwe ubongo tu.
 
Kazi unayo. Polee
 
Screenshot_20260731_093755.jpg
Yani hapa mke badala kuzidisha upendo aanze habari za kubadili hati walahi naweza kuiuza nyumba yenyewe kabisa.
 
HUYU JAMAA ALIKUWA JIRAN YETU

ALIKUWA ANAKAA MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH WAMEHAMIA KWAO WALA AWANA MIEZI 4

WATOTO WAO WALIKUWA VERY FRIEND PAMOJA NA MAISHA YA KIDOSI

WALIKUWA WANAKAA KWA KAKA YAO ANA NYUMBA KADHAA HUKU MBEZI ZA KUPANGA

ISSUE NIMEONA SIJUI OOH MAMA ANATAKA JINA LA NYUMBA LIWE LAKE

HIO ADDITION TU

HUYU MAMA AMEMTESAA SANA HUYU KAKA NA MBAYA KAKA NA FAMILIA YAO WAKO NA MZIGOOOO

MBAYA AKAANZA MNYIMA PULLANI WALE WAMALYASIA MLIOSOMA MNAELEWA

JAMAA KAVUMILIA SANA SANA NARUDIA SANA KUNA WAKATI AKAANZA JICHANGANYA NA BAR ZA MTAAN ANAHADITHIA MATESO YA MWANAMKE

MDADA ANARUDI XAKE.MIDNYT USINJSHIKE

SASA SISI WENGINE IKITOKEA TUNA BOLT KITAMBAA CHEUPE SINZA TBT SH NGAPI UNARUUDI SAA 2 MWANAMKE AYUPO

NIMESIKITIKA SANA WALE WATOTO JAMANI WADOGO ALAFU WALIZAA KAMA WANATAKA KUPANDA MLIMA FASTA FASTA KUMBE WANA PLAN YA KUWAACHAA AISEEE

RIP SHEMEJI

RIP KAKA KAMA HATUTAKUONA TENA

KIFUPI BAADA YA KUJIUA ALIRUDI KWAKAKAKE AKASEMA AMEMALIZANA NA MKEWE HUKU MBEZI BEACH

AKASEMA ANAOMBA AKAAASEMA AMESHAAPLY VISA MAREKANI AJIFICHE SEHEMU AANZE

KAKA AKASHAURI KWA HEKMA NA WATOTO WAKE ANAOMBA AENDE KKURIPOTI POLISI

AKAENDA KAWE WAKAONA MZIGO MZITO TWENDE MBWENI

KIJANA AMEACHA MAREHEMU
MAGARI MANNE
MYUMBA
ACC NO SIJAJUA KIASI
PAMOJA NA WALAJI WALAFI WA MALI WASIOJULIKANA MBELENI

BWANA AMETOA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Huyo brother anaonyesha alikua anapiga pombeee
 
HUYU JAMAA ALIKUWA JIRAN YETU

AL
IUWA ANAKAA MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH WAMEHAMIA KWAO WALA AWANA MIEZI 4

WATOTO WAO WALIKUWA VERY FRIEND PAMOJA NA MAISHA YA KIDOSI

WALIKUWA WANAKAA KWA KAKA TAO ANA NYUMBA KADHAA HUKU MBEZI ZA KUPANGA

ISSUE NIMEONA SIJUI OOH MAMA ANATALA JINA LA NYUMBA LIWE LAKE

HIO ADDITION TU

HUYU MAMA AMEMTRSA SANA HUYU KAKA NA MBAYA KAKA NA FAMILIA YAO WAKO NA MZIGOOOO

MBAYA AKAANZA MNYIMA PULLANI WALE WAMALYASIA MLIOSOMA MNAELEWA

JAMAA KAVUMILIA SANA SANA NARUIA SANA KUNA WAKATI AKAANZA JICHANGANYA NA BAR ZA MTAAN ANAHADITHIA MATRSO YA MWANAMKE

MDADA ANARUDI XAKE.MIDNYT USINJSHIKE

SASA SISI WENGINE IKITOKEA TUNA BOLT KITAMBAA CHEUPE SINZA TBT SH NGAPI UNARUUDI SAA 2 MWANAMKE AYUPO

HII N BRIEG HUJUI ALIYOMUTANA NAYO KWENYE SMS NK SIRIYAO NA WATOTO WAOOOOOOO

NIMESIKITIKA SANA WALE WATOTO JAMANI WADOGO ALAFU WALIZAA KAMA WANATAKA KUPANDA MLIMA FASTA FASTA KUMBE WANA PLAN YA KUWAACJA AISEEE

RIP SHEMEJI

RIP KAKA KAMA HATUTAKUONA TENA

KIFUPI BAADA YA KUJIUA ALIRUDI KWAKAKAKE AKASEMA AMEMALIZANA NA MKEWE HUKU MBEZI BEACH

AKASEMA ANAOMBA AKAESEMA AMESHAAPLY VISA MAREKANI AJIFICHE SEHEMU AANZE

KAKA AKASHAURI KWA HEL8MA NA WATOTO WAKE ANAOMBA AENDE KKURIPOTI POLISI

AKAENDA KAWE WAKAONA MZIGO MZITO TWENDE MBWENI

KIJANA AMEACHA MAREHEMU
MAGARI MANNE
MYUMBA
ACC NO SIJAJUA KIASI
PAMOJA NA WALAJ8 WALAFI WA MALI WASIOJULIKANA MBELENI

BWANA AMEYOA AMETWAA JONA LAKE LIBARIKIWE
Aiseeee
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Wanawake mjifunze namna ya kuishi na wanaume,acheni kejehi na madharau. Mf. Natoka zangu kuhangaika, unaingiza mwanaume chumbani kwangu, hizo ni dharau zilizokubuhu.
 
Kwa huu muandiko, wewe utakuwa ni Askari. Ila walao
HUYU JAMAA ALIKUWA JIRAN YETU

AL
IUWA ANAKAA MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH WAMEHAMIA KWAO WALA AWANA MIEZI 4

WATOTO WAO WALIKUWA VERY FRIEND PAMOJA NA MAISHA YA KIDOSI

WALIKUWA WANAKAA KWA KAKA TAO ANA NYUMBA KADHAA HUKU MBEZI ZA KUPANGA

ISSUE NIMEONA SIJUI OOH MAMA ANATALA JINA LA NYUMBA LIWE LAKE

HIO ADDITION TU

HUYU MAMA AMEMTRSA SANA HUYU KAKA NA MBAYA KAKA NA FAMILIA YAO WAKO NA MZIGOOOO

MBAYA AKAANZA MNYIMA PULLANI WALE WAMALYASIA MLIOSOMA MNAELEWA

JAMAA KAVUMILIA SANA SANA NARUIA SANA KUNA WAKATI AKAANZA JICHANGANYA NA BAR ZA MTAAN ANAHADITHIA MATRSO YA MWANAMKE

MDADA ANARUDI XAKE.MIDNYT USINJSHIKE

SASA SISI WENGINE IKITOKEA TUNA BOLT KITAMBAA CHEUPE SINZA TBT SH NGAPI UNARUUDI SAA 2 MWANAMKE AYUPO

HII N BRIEG HUJUI ALIYOMUTANA NAYO KWENYE SMS NK SIRIYAO NA WATOTO WAOOOOOOO

NIMESIKITIKA SANA WALE WATOTO JAMANI WADOGO ALAFU WALIZAA KAMA WANATAKA KUPANDA MLIMA FASTA FASTA KUMBE WANA PLAN YA KUWAACJA AISEEE

RIP SHEMEJI

RIP KAKA KAMA HATUTAKUONA TENA

KIFUPI BAADA YA KUJIUA ALIRUDI KWAKAKAKE AKASEMA AMEMALIZANA NA MKEWE HUKU MBEZI BEACH

AKASEMA ANAOMBA AKAESEMA AMESHAAPLY VISA MAREKANI AJIFICHE SEHEMU AANZE

KAKA AKASHAURI KWA HEL8MA NA WATOTO WAKE ANAOMBA AENDE KKURIPOTI POLISI

AKAENDA KAWE WAKAONA MZIGO MZITO TWENDE MBWENI

KIJANA AMEACHA MAREHEMU
MAGARI MANNE
MYUMBA
ACC NO SIJAJUA KIASI
PAMOJA NA WALAJ8 WALAFI WA MALI WASIOJULIKANA MBELENI

BWANA AMEYOA AMETWAA JONA LAKE LIBARIKIWE
 
Hizo hazijasikika, ila ni cancer na kugombania umiliki halali wa mali.
Hii ya Kuumwa cancer it doesnt add up kwa kweli.

hata kama jamaa anaumwa. Na mke akamshirikisha mume nia ya kubadili hati. Na sababu ya kubadili hiyo hati.
Na sababu ikamake sense. mm ningekubali.
Na nadhan wanaume weng wangekubali.

Ila ishu sio Cancer . Mgonjwa wa cancer ambayo haijawa terminal huwa hawez kukata tamaa.
utumbo unaweza kukatwa na kuweka mwingine. Wako watu nawajua walikuwa na cancer ya Utumbo na wakaenda India na wamerud wako poa.
Kwahiyo hapa sio Ugonjwa.
 
Ndivyo nilivyosikia kutoka kwa m1 wa mtu wa karibu na hiyo familia.
Mm nimesikia walikuwa na mgogoro wa siku nying .
usaliti kwa mwanamke.
Na Kwakuwa hawakufikia upatano. Mwanamke akawa anataka talaka.
na mwanamke ndio akawa anahangaika kufile divorce ili mali zabaki kwa watoto.

Mwanaume hakuwa amesamehe huo usaliti na ndio akaamua kuchukua uamuzi huo.

Ishu ni Usaliti.
Yaan mm nijue Mali zangu watapewa watoto wangu. Kama nikifa. Nitakataaje?.
 
Back
Top Bottom