Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Maelezo haya yanameke sense ya kwanini Kweka kamfumua Ubongo Da Jane ,kama mwanamke alikuwa halali nyumbani ,mme anaumwa tena kansa badala ya kumfariji ndiyo alikuwa anazidi kumtia STRESS.

Mfanyie kitu chochote mwanamme lakini si KUKITEMBEZA nje ,ukimfanyia hivyo ujue una 90% ya kutenganishwa na DUNIA na 10% za kurudi kwenu.
Ni kweli kabisa.
 
Kama story ni ya kweli na mke alianza kuomba divorce basi hakutaka mzigo wa kulea mgonjwa wa kansa umpotezee muda na kuhatarisha mali kuuzwa kwa ajili ya matibabu. Hii inaweza kuwa logic endapo tu hiyo hadithi ni ya kweli otherwise ni porojo kama porojo zingine.
Ni kweli, hadi huyo kweka alikua anajiuguza kwao moshi, baada ya huyo Jane kutokuwapo home kwa wakati fulani, akidai kapata safari ya kikazi.
 
Spouses have to be very careful and empathic. Kuna moves zingine ukizifanya wakati mwenzi wako ana changamoto ya kiafya zinaweza kutafsiriwa negatively. Mgonjwa anaweza kudhani kuwa kuna mkono wa mwenzi wake kwenye changamoto anayopitia. That’s very dangerous!
Ni kweli kabisaa.
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Gentleman,
kwenye mafamilia yetu haya yenye majumba ya kifahari, pesa mingi na wanawake warembo kuna moto mkali sana ndani yake. Uzuri ni kwa nje tu, kwa ndani ni stori nyingine kabisa.
Ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra ndani ya ndoa ili pawepo na amani.

Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu, familia nyingi wanaishi kama walivyo na chache ndio kama hivyo tena 🐒
 
She was taking an unnecessary risk. Hata kwa kufuata Customary Law, wanae ndio warithi wa hiyo mali. Labda kama alikuwa hataki wanae kuwa warithi pekee wa hiyo mali.
Pengine alikuwa na mpango wa kuendelea kuzaa pindi kaka akiondoka
 
Yaan concept ya mtu anaumwa huyu awaze kubadilisha majina ya umiliki badala wafocus na ugonjwa haiingii akilini !
Kama wangekua na maelewano mazuri before mume anawajua familia yake vizuri wangekaa wakayajenga !
Kuna story bado inafichwa !
... Huko alikohamia mwanamke siku za mwishomwisho!
 
Hapo kuna jambo limejificha?
1. Swali la kwanza hiyo cancer ilipatikanaje. Kuna makabila fulani yana uwezo wa kutengeneza magonjwa taratibu kwa waume zao ili watangulie?
2. Je hao watoto ni wake? Isije ikawa mgogoro umejificha hapo?
3. Kwani majina ya mme na watoto yangebaki kwenye hati mke asingeweza kurithi hiyo nyumba?
... labda jamaa alikuwa na watoto wengine kwa bibi yao!
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Roho ya mauti ikishakuvaa tu, unaweza kuuua au kujiua.
Ni vizuri binadamu tusifanye maamuzi wakati tunapokuwa na hasira.

Hata Biblia inasema muwe na hasira lakini msitende dhambi.
 
Maelezo haya yanameke sense ya kwanini Kweka kamfumua Ubongo Da Jane ,kama mwanamke alikuwa halali nyumbani ,mme anaumwa tena kansa badala ya kumfariji ndiyo alikuwa anazidi kumtia STRESS.

Mfanyie kitu chochote mwanamme lakini si KUKITEMBEZA nje ,ukimfanyia hivyo ujue una 90% ya kutenganishwa na DUNIA na 10% za kurudi kwenu.
Sasa wewe una Cancer, ukute ndugu ndo wale gombania goli, nyumba ya Nini tena? Wazo zuri ni kumuachia mke maana ataishi na watoto. Hii story Bado haijakamilika
 
View attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.

Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.

Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
Hujui sheria
 
Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.

Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Mpaka hapo huyo Mke alihofia ndugu wa mume wataleta shida mumewe akifariki.

Ingekuwa kabila jingine,hao ndugu wa mume wala wasingekuwa tishio kwa mjane kama kwao mambo safi.
 
Pengine alikuwa na mpango wa kuendelea kuzaa pindi kaka akiondoka
Kufikiria kuolewa tena mume akifa nalo ni tatizo la kifikra. Kwenye ndoa inayoongozwa na mapenzi ya dhati, spouse anakuwa in denial mpaka dakika ya mwisho. Hakuna hedging strategies zitakazokuja kichwani mwake wakati wa kumuuguza mwenzi wake.
 
Ni wazi ndoa hiyo haikuwa na mapenzi. Watu wanaopendana hawawezi kupigana risasi
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Hapa ndugu zangu wachaga, tupate males masuri maturity.
Mnaweka pesos mbele sana kuliko utu na mapenzi ya kibinadamu.
Hivi hilo jumba wote wawili mkevnavmume wakilipoteza navkuendelea kivingine, si wataishi tu?
 
Back
Top Bottom