Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Mke - Nipe talaka, na Majina ya mali nishaanza mchakato wa kubadili yawe ya watoto

Mme - Lakini mke Wangu, hujali hata hali yangu, si Watoto wapo

Mke - Thubutu, kwanza ndugu zako watanisumbua, halafu miezi sita hujanit..... Unadhani nilikuwa nakusubiri wewe tu, ili iweje? Kwanza hawa watoto hakuna hata mmoja damu yako.....

Ni mshangao baada ya hapo ni Paaaah paaaaah.

Nazingua tu.
Ila kwenye hiyo inshu mwanamke kuwa na mchepuko inahusika sana.

Hiyo inshu ina Pain Moyoni Sio Poa.

Mungu awe pamoja nao na familia zao.
Ila wewe 😂😂😂
 
kifupi Makanisa yanakomaa na maandiko ya sadaka nk wanasahau kuhubiri upendo na amani tena yaan n miujiza na sadaka na zaka

wanasahau huko ndan ya familia kunanuka kumeoza yaan hasa sisi walutheri ukituona tunavyoingia na wake zetu unaweza hisi tumeona jana na wengine kushikana mkono kumbeeee ndaniii wanasubiriq

hivii Bwanna aaaah akaeee nanyiii
Inaimbwaa saa ngapi tuondoke

Acheniitu
 
Unapopokea habari use your common sense filter unachoambiwa, kuna uongo unaweza kuubaini bila hata kuujuwa ukweli.

Kwahili huu ni uongo naelewa vizuri sheria za Mirathi hakuna wa kumnyang'anya chochote mjane na watoto wake, tena mjane ni University graduate ana exposure ya kutosha.

Ukweli unafichwa mwalimu wao ni Haika wa Mbezi Garden baada ya kuachika na Phares Magesa amedhamiria kuvunja ndoa za wanawake wote wasiojielewa in the name of Wanawake lazima umiliki mali.

Upumbavu mtupu.
Sheria zipo na watu wanazivunja usidhani vitu vipo straight hivyo hizo case zipo kibao
 
Hebu tusome hii statement ya Wicknell Chivayo aliyoandika kwa uchungu tarehe 20 march 2026

While I am BUSY enjoying life and feeling deeply LOVED by my ONE AND ONLY WIFE, celebrating our FIRST YEAR ANNIVERSARY in Switzerland, Milan and LONDON my attention has been drawn to some BIZARRE and profoundly OUTRAGEOUS videos circulating on social media. I am told by concerned friends and FAMILY that a woman I USED to call my wife has some “Terms & Conditions” for BARIKA 😂😂😂. As REGRETABLE as this clearly is, I must also say that it is LAUGHABLE !!! This comes barely few weeks after I came across yet another SENSATIONAL and ABSURD video in which it was alleged that I had spent THREE HOURS begging to see her. Quite frankly, the COMPLEXITY of my business commitments and the quality of life I now enjoy would NEVER allow me to spend 3 good hours sitting in a 2026 Rolls-Royce begging to see an EX-WIFE at a property that I bought with my OWN MONEY. Some lies and fabricated stories are so incoherent and clumsy that they expose themselves.

Unfortunately, MY WIFE AND I have received a BARRAGE of messages and calls from friends and relatives, some of them even sarcastically “congratulating” me over an IMAGINED polygamous development. Allow me to be VERY CLEAR on this one, that will NEVER EVER EVER happen. I have absolutely NO intention, whether now or at any point in the future, of reuniting with my ex-wife under any circumstances or in any emotional or marital sense whatsoever. I spent 7 GRUELLING YEARS with that woman and that chapter of my life is CLOSED and HISTORICALLY CONCLUDED. I am HAPPILY MARRIED and at peace. I do not revisit chapters that nearly broke me simply because somebody else has failed to move on.

During the years I spent with that woman, I endured EMOTIONAL ABUSE which left deep scars mentally and spiritually. In February 2024, she returned home VISIBLY DRUNK at 2 a.m and made it unequivocally clear that she wanted nothing further to do with me, akandipa US$1 se GUPURO. I accepted it with a HEAVY HEART and pain for my young children, but also with so much RELIEF as this was a moment of EMANCIPATION from EMOTINAL SLAVERY from an institution I thought will bring peace and companionship.
Aliiandika wapi hii? Hivi kila mtu akiamua kuandika mambo anayopitia kwenye mahusiano si hapatatosha? Kwangu mimi ni ujinga na upumbavu.
 
Yule Aliye mchoma mkewe kwa mkaa wala sio kwamba Ni mnyama sana Ila story za magezeti ziliandika habari ku udaku sana Ila ukweli ni jamaa alifanya kosa Alafu akawa haelewi afanye nini kupoteza ushaidi( ni kwamba alipagawa)
Aliwaza kwenda mzika shambani kwake mbali ila akapata wazo la kuchimba shimo na ili kupoteza ushaidi basi amchome Kwa mkaa ... Tena ili isigundulike akawa anachoma na mapochi yake ili harufu ya nyama isitokee.. Akaagiza boda wanaleta magunia na wanaishia getini anaingiza mwenyewe

Badae akajidai anamtumia mkewe msg uko wapi (Hii ndo ilikuja Kumdaka maana ilionekana msg wakati inatumwa kutoka kwake kwenda kwa sm ya mkewe eneo lilikiwa lile lile) means alikuwa na sm zote.

Akaenda hadi police kutoa tarifa mkewe hamuoni tena akatoa na dau kama sikosei Milioni tano atakae muona.

Hii ni hali ya kupanic ukishafanya kitu cha kishenzi ambazo unabaki sasa kujilaumu.

Moja ya kitu nasisitizaga sana WAKRISTO badilisheni misimamo kwenye maswala ya Talaka hii kitu hufanya watu waishi ndani lakini ni madui wakubwa sana
Nani kakwambia kwa wakristo hakuna talaka?
 
Hivi hizi shule mlikwenda kufanya nini? Mume anapofariki Mirathi yake ni ya mke na watoto wake.

Kama hamjui sheria inawapendelea wanawake ukifa mpaka Mama yako anapata urithi wako.

Ni lini ulisikia mwanaume anagombea urithi wa marehemu mke wake? Au mnadhani Wanawake hawafi na hawaachi mali?
Unataka kusema hujawahi kusikia ndugu wa mwanaume wanataka kudhulumu mjane? Kesi hizo ziko nyingi tu mahakamani.

N:B sizungumzii specifically kesi ya huyu dada.
 
Siyo kweli, unaanza vipi kumnyanyasa mjane, University graduate, amezaa watoto watatu na kiwanja pia ni chake hata kisingekuwa chake hapo Mirathi ya mume ni ya mke na watoto wake.

Kwa nini mnadanganywa kizembe hivi?
Sio kama mume akifa basi mirathi inaenda direct kwa mke, hata wazazi wa marehemu nao wanaweza simamia mirathi.wewe ndio unadanganywa kizembe na phd yako ya mchongo na kama kiwanja ni chake kwanini atake hati abadili jina?
 
kifupi Makanisa yanakomaa na maandiko ya sadaka nk wanasahau kuhubiri upendo na amani tena yaan n miujiza na sadaka na zaka

wanasahau huko ndan ya familia kunanuka kumeoza yaan hasa sisi walutheri ukituona tunavyoingia na wake zetu unaweza hisi tumeona jana na wengine kushikana mkono kumbeeee ndaniii wanasubiriq

hivii Bwanna aaaah akaeee nanyiii
Inaimbwaa saa ngapi tuondoke

Acheniitu
... usisahau na zile injili za mke haolewi kufua boxer wala kuuguza 'canser'!
 
Nimesikia sehemu kua lile gorofa ni mali ya Baba mzazi wa mwanaume aliloliacha kwa mwanae sasa kesi kubwa hapa nikwamba mwanamke baada ya mume kuanza kuumwa analisalandia kujimilikisha yeye nafikiri na watoto wakati ni mali ambayo haimuusu kabisa.plus na michepuko baada ua mzee kuanza kuugua maana nahisi huenda ata mwanaume amepoteza nguvu lqbda.nimeisikia kutkka kwa dadq mmoja mtu wa karibu anaeifahamu hii familia
Yaani tutasikia mengi. Tatizo ni kwamba kila mtu anasimulia tofauti na mwingine lakini wote wanadai wamesimuliwa na mtu wa karibu na familia husika!!!! Nadhani sababu wanazijua Marehemu na mumewe tu.
 
Sio kama mume akifa basi mirathi inaenda direct kwa mke, hata wazazi wa marehemu nao wanaweza simamia mirathi.wewe ndio unadanganywa kizembe na phd yako ya mchongo na kama kiwanja ni chake kwanini atake hati abadili jina?
Wewe Pimbi mimi ni msimamizi wa Mirathi ya Baba yangu Mzazi kenge wewe, nazijuwa vizuri sheria za Mirathi.
 
Unataka kusema hujawahi kusikia ndugu wa mwanaume wanataka kudhulumu mjane? Kesi hizo ziko nyingi tu mahakamani.

N:B sizungumzii specifically kesi ya huyu dada.
Zipo kwa sababu wanakutana wote ni malayman.

Ndio maana hoja yangu kubwa ni kwa huyu dada ni University graduate mwenye exposure kubwa huwezi kumletea kekundu keupe.

Mimi binafsi ni Msimamizi wa Mirathi ya Baba yangu, mama yupo hai sijagawanya mali yoyote ya marehemu zitabaki hapo kama tulivyokubaliana kifamilia.

Mzee alishagawaga asset kwa kila mtoto, vilivyobaki ni vya mama hakuna kugawa chochote kwa sasa.

Kuna wakati kama mnaishi kwa utu msifuatishe sana sheria za kimahakama ni chanzo cha umaskini, jiulize kwa nini kizazi chetu kiwe cha kuuza tu mali za urithi? Kwa nini wajukuu wasikute memory Babu yao alikuwa nani?

Wahindi hawagawani mali za marehemu wanaendeleza utajili, sisi tunagawana unauza unatamba mtaani miezi miwili chali unabaki kuwa simulizi mtaani, au unakuta hawahawa dada zetu mnagawia nyumba anauza pesa anamkabidhi bwana wake ili ampende zaidi.

Naandika haya through my experience, hata Waislamu walipotaka mahakama ya kadhi wana hoja ila hawajui kuwasilisha tu hoja zao.
 
Back
Top Bottom