Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

HUYU JAMAA ALIKUWA JIRAN YETU

AL
IUWA ANAKAA MAKAZI MAPYA MBEZI BEACH WAMEHAMIA KWAO WALA AWANA MIEZI 4

WATOTO WAO WALIKUWA VERY FRIEND PAMOJA NA MAISHA YA KIDOSI

WALIKUWA WANAKAA KWA KAKA TAO ANA NYUMBA KADHAA HUKU MBEZI ZA KUPANGA

ISSUE NIMEONA SIJUI OOH MAMA ANATALA JINA LA NYUMBA LIWE LAKE

HIO ADDITION TU

HUYU MAMA AMEMTRSA SANA HUYU KAKA NA MBAYA KAKA NA FAMILIA YAO WAKO NA MZIGOOOO

MBAYA AKAANZA MNYIMA PULLANI WALE WAMALYASIA MLIOSOMA MNAELEWA

JAMAA KAVUMILIA SANA SANA NARUIA SANA KUNA WAKATI AKAANZA JICHANGANYA NA BAR ZA MTAAN ANAHADITHIA MATRSO YA MWANAMKE

MDADA ANARUDI XAKE.MIDNYT USINJSHIKE

SASA SISI WENGINE IKITOKEA TUNA BOLT KITAMBAA CHEUPE SINZA TBT SH NGAPI UNARUUDI SAA 2 MWANAMKE AYUPO

HII N BRIEG HUJUI ALIYOMUTANA NAYO KWENYE SMS NK SIRIYAO NA WATOTO WAOOOOOOO

NIMESIKITIKA SANA WALE WATOTO JAMANI WADOGO ALAFU WALIZAA KAMA WANATAKA KUPANDA MLIMA FASTA FASTA KUMBE WANA PLAN YA KUWAACJA AISEEE

RIP SHEMEJI

RIP KAKA KAMA HATUTAKUONA TENA

KIFUPI BAADA YA KUJIUA ALIRUDI KWAKAKAKE AKASEMA AMEMALIZANA NA MKEWE HUKU MBEZI BEACH

AKASEMA ANAOMBA AKAESEMA AMESHAAPLY VISA MAREKANI AJIFICHE SEHEMU AANZE

KAKA AKASHAURI KWA HEL8MA NA WATOTO WAKE ANAOMBA AENDE KKURIPOTI POLISI

AKAENDA KAWE WAKAONA MZIGO MZITO TWENDE MBWENI

KIJANA AMEACHA MAREHEMU
MAGARI MANNE
MYUMBA
ACC NO SIJAJUA KIASI
PAMOJA NA WALAJ8 WALAFI WA MALI WASIOJULIKANA MBELENI

BWANA AMEYOA AMETWAA JONA LAKE LIBARIKIWE
Ila mpwa Masters yako ya Udsm supervisor wako alikuwa nani? Mbona unatuangusha sana mwaka wa kumi na kitu huu mpwa unatutesa na mwandiko.
Na Wananzengo hawana baya wamekudoshea like kwamba wamefurahishwa na post yako.

Long live JF sema Ayayayaya.
 
Mm nimesikia walikuwa na mgogoro wa siku nying .
usaliti kwa mwanamke.
Na Kwakuwa hawakufikia upatano. Mwanamke akawa anataka talaka.
na mwanamke ndio akawa anahangaika kufile divorce ili mali zabaki kwa watoto.

Mwanaume hakuwa amesamehe huo usaliti na ndio akaamua kuchukua uamuzi huo.

Ishu ni Usaliti.
Yaan mm nijue Mali zangu watapewa watoto wangu. Kama nikifa. Nitakataaje?.
Mambo Manitoba!
 
Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.

Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Radio mbao za Dar zimeanza!
 
Duh hajaona hasara vile anajua hata huko jela hatakaa ataondoka. Ila yote hii inasababishwa na tabia ya ndugu wa mume kudhulumu mali wajane vinginevyo mke asingehangaika kutaka kuhamisha jina wakati anajua mume aking'ata shuka nyumba inabaki yake
If that is true nachelea kusema marehemu alikua ni mjinga kama siyo mpumbavu. Na wapo wengi wa namna hiyo. Hata kama ni kweli nyumba ilikua ina jina la mumewe, alipaswa kujua hata kwa kuuliza tu kwamba alikua na haki ya kurithi hiyo nyumba endapo mumewe angefariki.
 
Nadhani marehemu hakutaka kuonekana amerithi, alitaka iandikwe jina lake ili aonekane nae jasho lake liko pale. Kwa namna fulani namwelewa ukizingatia hilo kabila lao
 
Hapo kuna jambo limejificha?
1. Swali la kwanza hiyo cancer ilipatikanaje. Kuna makabila fulani yana uwezo wa kutengeneza magonjwa taratibu kwa waume zao ili watangulie?
2. Je hao watoto ni wake? Isije ikawa mgogoro umejificha hapo?
3. Kwani majina ya mme na watoto yangebaki kwenye hati mke asingeweza kurithi hiyo nyumba?
Hilo swali la 3 nani alikwambia hati ilikuwa na majina ya mme na watoto?
 
Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.

Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Spouses have to be very careful and empathic. Kuna moves zingine ukizifanya wakati mwenzi wako ana changamoto ya kiafya zinaweza kutafsiriwa negatively. Mgonjwa anaweza kudhani kuwa kuna mkono wa mwenzi wake kwenye changamoto anayopitia. That’s very dangerous!
 
View attachment 3684108

Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba.
Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi.
Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha.
Unataka ku shoot naye video ya kibao kata?
 
Ndio mawazo ya mke, kuwa ndugu wa mume watakuja kumfurusha humo ndani na kumpora mali zote za mumewe.
Wamfurushe kwa sababu gani? Lazima kuna namna huyo mwanamke alikuwa hayupo vizuri na mume, wakwe , mawifi na mashemeji zake.
 
Nadhani marehemu hakutaka kuonekana amerithi, alitaka iandikwe jina lake ili aonekane nae jasho lake liko pale. Kwa namna fulani namwelewa ukizingatia hilo kabila lao
She was taking an unnecessary risk. Hata kwa kufuata Customary Law, wanae ndio warithi wa hiyo mali. Labda kama alikuwa hataki wanae kuwa warithi pekee wa hiyo mali.
 
Inasemekana.
Huyu mwanaume alikua ana uchumi mzuri, na kazi nzuri, pia kwao wako vizuri, ndipo akamuoa huyu mwanamke, wameishi na kuzaa watoto, kumbe mwanamke alikua na uwanja alinunua kabla ya kukutana na huyu mwanaume, ndipo akamuambia mumuwe wajenge nyumba ktk kiwanja hicho. Ila pesa na gharama zote za ujenzi wa nyumba ni za mwanaume.

Sasa hivi karibuni mume anaumwa kansa ya utumbo, na ameambiwa hawezi kupona, asubiri kifo tu, sasa mwanamke baada ya kujua mume muda wowote anang'ata shuka, ndipo kaanza harakati za kutaka nyumba hiyo iwe kwa jina lake na watoto pekee, ilifikia hali mbaya ya kutoelewana, ilibidi mwanaume aende kwao moshi akapumzike, na wakati huo huo mwanamke hakuwepo hapo nyumbani, mke akiporudi, majirani wakatuma taarifa kwa mume kuwa mkewe karudi. Bwana akatoa huko moshi usiku kwa usiku na kuwasili home bunju alfajiri, na kumkuta mkewe akijiandaa kwenda kazini, kilichofuata ni Paaah! Paaah! Paah! Jane chinii, na Laurent kujisalimisha polisi.
Maelezo haya yanameke sense ya kwanini Kweka kamfumua Ubongo Da Jane ,kama mwanamke alikuwa halali nyumbani ,mme anaumwa tena kansa badala ya kumfariji ndiyo alikuwa anazidi kumtia STRESS.

Mfanyie kitu chochote mwanamme lakini si KUKITEMBEZA nje ,ukimfanyia hivyo ujue una 90% ya kutenganishwa na DUNIA na 10% za kurudi kwenu.
 
Kama hii story ni ya kweli mke alikuwa na shida gani wakati hata mume akifa hiyo nyumba ni ya kwake na watoto wake? Tena hapo na kiwanja si cha kwake? Au Director kakosea script?
Kama story ni ya kweli na mke alianza kuomba divorce basi hakutaka mzigo wa kulea mgonjwa wa kansa umpotezee muda na kuhatarisha mali kuuzwa kwa ajili ya matibabu. Hii inaweza kuwa logic endapo tu hiyo hadithi ni ya kweli otherwise ni porojo kama porojo zingine.
 
Hebu tusome hii statement ya Wicknell Chivayo aliyoandika kwa uchungu tarehe 20 march 2026

While I am BUSY enjoying life and feeling deeply LOVED by my ONE AND ONLY WIFE, celebrating our FIRST YEAR ANNIVERSARY in Switzerland, Milan and LONDON my attention has been drawn to some BIZARRE and profoundly OUTRAGEOUS videos circulating on social media. I am told by concerned friends and FAMILY that a woman I USED to call my wife has some ā€œTerms & Conditionsā€ for BARIKA šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚. As REGRETABLE as this clearly is, I must also say that it is LAUGHABLE !!! This comes barely few weeks after I came across yet another SENSATIONAL and ABSURD video in which it was alleged that I had spent THREE HOURS begging to see her. Quite frankly, the COMPLEXITY of my business commitments and the quality of life I now enjoy would NEVER allow me to spend 3 good hours sitting in a 2026 Rolls-Royce begging to see an EX-WIFE at a property that I bought with my OWN MONEY. Some lies and fabricated stories are so incoherent and clumsy that they expose themselves.

Unfortunately, MY WIFE AND I have received a BARRAGE of messages and calls from friends and relatives, some of them even sarcastically ā€œcongratulatingā€ me over an IMAGINED polygamous development. Allow me to be VERY CLEAR on this one, that will NEVER EVER EVER happen. I have absolutely NO intention, whether now or at any point in the future, of reuniting with my ex-wife under any circumstances or in any emotional or marital sense whatsoever. I spent 7 GRUELLING YEARS with that woman and that chapter of my life is CLOSED and HISTORICALLY CONCLUDED. I am HAPPILY MARRIED and at peace. I do not revisit chapters that nearly broke me simply because somebody else has failed to move on.

During the years I spent with that woman, I endured EMOTIONAL ABUSE which left deep scars mentally and spiritually. In February 2024, she returned home VISIBLY DRUNK at 2 a.m and made it unequivocally clear that she wanted nothing further to do with me, akandipa US$1 se GUPURO. I accepted it with a HEAVY HEART and pain for my young children, but also with so much RELIEF as this was a moment of EMANCIPATION from EMOTINAL SLAVERY from an institution I thought will bring peace and companionship.
Doh aysee
 
View attachment 3684112Jamaa kama alifanikiwa kuuwa kwa risasi moja tu, basi si miaka mingi atakuwa raia huru hiyo ni moja kwa moja Manslaughter anahitaji huduma ya Wakili bora tu na uzuri hakuna eye Witness.

Nawaambia mapema save this comment msije kusema Jaji kanunuliwa, hata hao Majaji wapo wanaozinguliwa na wake zao.

Jitu lina mihela kama Wicknell Chivayo alishindwana na mke wake wa kwanza, ukisoma statement ya Wicknell unatamani kulia kama tajili anafanyiwa hivi na mwanamke.
Umegonga maeneo nyeti sana. "No Woman No cry". Halafu cjui inakuwaje-kuwaje kwamba wanawake (most of them)huwa na uthubutu mkubwa sana na bila kutafakari au kuangalia madhara yanayoweza kujitokeza au matokeo ya kile wanacho jaribu na kuthubutu kukifanya- For a woman things are just as simple like that. Yan kitu chenye hatari kubwa kwao kinawezekana tena kwa wepesi sana. Huo mgogoro unaosemekana ulikuwepo, ni wa muda mrefu - muda ambao ulimtosha marehemu kutafakari zaidi na zaidi juu ya uwezekano wa matokeo Hasi.
 
Back
Top Bottom