Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

Una haki ya kufikiri upendavyo lakini huna haki ya dhana. Fanya tafiti japo kidogo. Siungi mkono chochote wala sipingi chochote nisichokijuwa au nisichokifanyia utafiti.


Hilo la biashara za Kimataifa nnalijuwa vilivyo, huelewi tu kuwa mimi ni Mshauri wa biashara (business Consultant) niliyesajiliwa Tanzania pia. Kwa faida yako tu, itafute Business Consultants Ltd.

Pakuitafuta ni Brela, TRA na Chamber of Commerce, ujiridhishe kuwa nnafaham nnachokielimisha humu JF.

Huwa sikisii. Chota madini.
Mpuuzi wewe huna kampuni wala nini huko kote ulipotaja wala hakuna upuuzi kama huo ! Hayo ni mashauzi tuu pumbafu zako! Unajifanya consultants unajua nini kuhusu biashara pimbi wewe! Usitake nikufumue fumue mjinga wewe! Jitu hata kuandika haliwezi sasa huo ushauri huwa unautoa kwa kupitia haja ndogo au kubwa kima wewe!
 
Mpuuzi wewe huna kampuni wala nini huko kote ulipotaja wala hakuna upuuzi kama huo ! Hayo ni mashauzi tuu pumbafu zako! Unajifanya consultants unajua nini kuhusu biashara pimbi wewe! Usitake nikufumue fumue mjinga wewe! Jitu hata kuandika haliwezi sasa huo ushauri huwa unautoa kwa kupitia haja ndogo au kubwa kima wewe!
Utaumia sana, na bado. Huyo ndio FF, ukipenda tafuta, hukupenda wacha.

Ushauri hapewi poyoyo kama wewe, wewe ni wa kufundishwa siyo kushauriwa. Wapo wa kushauriwa; Hutoweza kufika calibre hiyo hivi karibuni. Wewe upige goti nikufundishe namna ya kujifundisha.


Huwa sikisii, unataka nikupe somo la spelling kidogo?
 
Ji
Utaumia sana, na bado. Huyo ndio FF, ukipenda tafuta, hukupenda wacha.

Ushauri hapewi poyoyo kama wewe, wewe ni wa kufundishwa siyo kushauriwa. Wapo wa kushauriwa; Hutoweza kufika calibre hiyo hivi karibuni. Wewe upige goti nikufundishe namna ya kujifundisha.


Huwa sikisii, unataka nikupe somo la spelling kidogo?
Jinga jinga wewe! Hv unadhani hapa Jf wote ni wana mtindio na taahira ya akili kama wewe! Boya Kiazi Burukenge
 
Kumbe sasa na wewe unajua kuna edit ! Well & Good
Ulinifundisha wewe. Umesahau? Nilikwambia mimi ni mwanafunzi daima. Siyo kama nyie ambao Dhahabu Nyeusi anawaita "Waafrika wajinga", mnajifanya mnajuwaa kumbe hamna mjuwalo. Mi ujinga tu. Jiangalie, bofya chini hapo:

 
Bofya chini hapo:

Sawa samia nimekuelewa.
IMG-20230620-WA0011.jpg
 
Endelea kubaki na ujinga wako, kama Dhahabu Nyeusi anavyosema hapo juu, siyo maneno yangu hayo. Usinizozomokee. Wewe basi hata tofauti ya Oman na Dubai huielewi jalafu unajifanya unajuwa, ndiyo ujinga wa Mwafrika anaousema Dhahabu Nyeusi huo. Tumia muda wako kufanya japo kijitafii kidogo ili uelewe tofauti ya Oman na Dubai wanapotokea DP World.

Nafaham, hukumuelewa Dhahabu Nyeusi kwa kumsikikiza, lakini farijika kidogo, nimeshaweka tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa google, rudi juu ukamsome.

Swali kwako: Hivi Tanzania hii Akasankara hauna hata shemeji wa kusingiziwa wa Kiarabu?
Hivi ukipenda kitu unakuwa na chongo hata usione ee?
 
Ila huyu bibi mbona anachukiwa hivi shida ni yy kujifanya mjuaji ilihali ni bogus ...ama kutoupenda uafrika wake na kushobokea waarabu walio toboa spika yake huko nyuma.[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi ukipenda kitu unakuwa na chongo hata usione ee?
Napenda ukweli, sijawahi kuufungia macho ukweli nikaukumbatia uongo. Uislam haunirusu.

17_81.gif

qur'an 17: 81. Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke! 81
 
Hivi miaka zaidi ya 60 tangu tujitawale bado tu tunawalaumu Wakoloni wa kizungu na kiarabu kuhusu kufikiri kwetu?
FaizaFoxy ?
 
Anamaanisha ndiyo ujinga tulionao, kuwaona wakoloni ndiyo kila kitu kwetu.
Wengine wanaona wakoloni Wazungu ni bora kuliko wakoloni Waarabu (Ingawa wengi hawapendi kuwaita waarabu ni wakoloni).

Siku hizi kuna mashindano ya kugombea Urusi ama Marekani ipi Bora!! Hapo tumelogwa??
 
Tatizo kubwa sana ninalolishuhudia kwa Watanzania wengi ni ujinga mbaya, tuelewane kuwa ujinga siyo tusi, ujinga ni sifa ya kutokuelewa. Sifa inaweza kuwa nzuri au mbaya, sifa ya ujinga mbaya ni ile ya kutokuelewa kuwa huelewi, sifa nzuri ya ujinga ni ile ya kutokuelewa lakini unafahamu kuwa huelewi.

Ukishaelewa kuutofautisha ujinga katika sifa nzuri na mbaya basi itakuwa wepesi sana kutokana na ujinga mbaya mwingi na kubaki na ujinga mzuri mchache wa yale mapya usiyoelewa. Na namna ya kuufuta ujinga mbaya ni kujifunza kile usichokielewa, ukishakielewa ina maan hu mjinga tena kwenye hicho unabaki kuwa mjinga katika kile tu ambacho hujajifunza.

Mfano mzuri tena ni mfano hai, ni huu wa sakata la bandari. Wengi tunajifanya tunaelewa kumbe hatuelewi chochpote, tunakuwa washitaki sisi, watowa hukumu sisi, waadhibuji sisi, wachimba makaburi sisi ya tuliowahukumu sisi. Siyo vibaya yote hayo, si ndiyo tunafanya kazi zote hizo kwa bidii, hatungoji kufanyiwa, au sivyo? Ni sifa kubwa hiyo.

Lakini ni sifa ya ujinga mbaya, sana tena sana. Kwa sababu huyo tunaemhukumu hatumjuwi. Tunamhukumu bila hata ya kumuona. Ujinga mbaya unazidi pale aliyekwenda kumuona, akmjuwa huyu ni nani, anafanya nini, tunamuona yeye ni mjinga. Nadiriki kusema tulionao ni zaidi ya ujinga mbaya, ni uhayawani kabisa.

Anaebisha atwambie, yeye kishafanya biashara ipi inayohusu bandari? Na kishafanya na nani? na kaifanya wapi?

Kama hana qualification hata kidogo za kuyajuwa hayo, na haujafanya hata utafiti japo kidogo wa kupata uelewa wa hayo, basi huna haki ya kunyanyua mdomo. Mao Tse Tung alisema "haujanya tafiti hauna haki ya kuongea". Nyerere alisema mmoja katika maadui zetu ni ujinga. Na mimi nakubaliana nae kwenye hilo 100%, nisichokubaliana nae ni zile sifa nyingine za maadui zetu. Nna sababu yangu moja tu ya kuzikataa hizo. Nayo ni kuuta ujinga, naamini tukifuta ujinga zile sababu zake mbili zingine hazitakuwepo tena.

Ambae hajafanya biashara za kimataifa au hata za kitaifa zinazohusiana bandari na ambae hajafanya japo utafiti wa anachokipinga katika sakata la bandari, hana haki ya kupinga na hana haki hata ya kufunguwa mdomo wake, yeye akubali tu, awawachie waliokwishafanya biashara hizo na au waliokwishafanta tafiti kwenye hilo.


Mimi napinga wajinga wote wanaopinga kijinga kwenye sakata hili. Haya, leta ujinga wako tuupime hapa ni ujinga mzuri au ujinga mbaya.
Huu ulioandika siyo ujinga, ni UPUMBA.VU
 
Back
Top Bottom