Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba


Na inaonekana amemshika sana APOSTO ndiyo maana Nabii anatoa tu mipunga kumjengea majumba BINTI ili asjie kumwaga mtama kwenye njiwa wengi.

Ma Bosslady ,Maslay queen hawawezi kuwa low profile hata kidogo ,watafanya ma promo kwa ajili ya kuwarusha roho mademu wenzao....APosto sijui ilikuwaje akajichanganya kwa mdangaji demu wa wasanii video vixen.
 
Wanawake wote wazuri Dar es salaam hajawaona akaangukia kwa huyu? Huyu dada ana nini mbona sura ya kawaida tu?
 
Wanawake wote wazuri Dar es salaam hajawaona akaangukia kwa huyu? Huyu dada ana nini mbona sura ya kawaida tu?

Wanawake micharuko huwa wana nafasi kubwa sana ya kupata wanaume wenye maisha.

Sababu kuu ni wazoefu wanajua mwanaume anataka nini.. hivyo hawana mapozi ya kijinga jinga.. na mwanaume wanamteka kwa kumpa heshima na amani.

Wanaume wanachohitaji kwa mwanamke ni sex, amani na heshima.

Wanawake wanaoonekana wastaarabu huwa wanashindwa kuprovide hivyo vitu vitatu bila mabishano bishano na kupotezeana muda.

Kutongozwa tu wanataka ichukue mwaka mzima ama miaka ndipo atoe papuchi. Huku hao kina kate akiguswa tu anatoa ushirikiano fasta.

Mtu busy kama Mwamposa hana muda wa kumtongoza mwanamke muda mrefuuu..hivyo wanawake wastaarabu sana wife materials hawawezi kumpata mwamposa
 
Basi Malaya wengi ndiyo maana huwa Wana zali la mentality
 
Akae kimya tu. Tukimuundia kikosi kazi cha CIA wa mtandaoni tawi la Twitter huyu madhambi yake mtakimbiana hapa. Uchumi wa Tanzania binti mdogo kama huyu anatoboa kwa kazi gani ambayo hajaiweka wazi?

Anyways tuishi kwa kuwa humble. Ukipata kula na wako kaa kimya. Tambo huwa zinaleta maadui wasio wa lazima.
 
Kwa kuwasàgia kunguni hao manabii wa Mungu, wewe ni wa motoni bila hata kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…