Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
-
- #21
Mbona ni mpole na muungwana Sana?Hao ni Ma-Slay queen ,walianza na mtaji wa elfu 10 ,jichanganye uone....Ni kama Shamim Zeze 8020 Fashion alivyokuwa anawadanganya wanawake wenzake kumbe behind the scenes wanauza BWIMBWI.
Hamna nini tena boss,Hamna, kasema anajinyima ili ajenge. Duniani Kuna watu wenye bahati sana tu.
Alikuwa na kipini puani, Sema nini, sura za wanawake Kama vinyonga. Hivyo sibishi au kukubaliHuyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
Sawa, nimekupata.Hamna nini tena boss,
Nime ku quote..
"starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri".
Ndio nikaandika ana starehe nzuri, kujenga ni kitu kibaya?
Zoom hiyo utakutana na kipiniAlikuwa na kipini puani, Sema nini, sura za wanawake Kama vinyonga. Hivyo sibishi au kukubali
Sio majumba tu naona pia ana super mtindiz 😋Huyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
Kajimwage Mwanetu akutafune Mifwedha.Sio majumba tu naona pia ana super mtindiz 😋
Hongera kwake, niliangalia kipindi .Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi Sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza Siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. aaaaaaaaaahhhhhhh
Hahahahaa kama ni kujimwaga ni kwa ajili ya le super mutindiz tu mambo mwngine namwachia 😀Kajimwage Mwanetu akutafune Mifwedha.
Mi nyumba zake Wala Sina shida nazoHuyo hapo fanya kumtafuta mkuuView attachment 2659640
Sasa nadhibitsha sio huyu, yule sio Mrembo hivi. Ni wa kawaida Sana tu.Zoom hiyo utakutana na kipini View attachment 2659646
Starehe ya smati foni ni kuzumu picha sasa haujaweka picha naangalia Uzi wako kiviivu!Nimeangalia kipindi cha Ujenzi EATV nikamuona dada mdogo kiumri akiwa tayari kashajenga nyumba tatu Kubwa jijini Dar.
Anadai yeye huwa hapendi Sana starehe ila starehe yake ni kujenga nyumba nzurinzuri. Kisa cha kuja hapa ni umri wake na vitu anavyomiliki.
Bahati mbaya Mtangazaji wa kipindi hicho cha ujenzi Basilisa John hakumuuliza Siri ya mafanikio yake ili wanawake wengine wajitume pia. Hakuulizwa jina pia, zaidi ni kuonesha tu mijengo yake.
Japo Sina uhakika, Anaonekana hajaolewa. aaaaaaaaaahhhhhhh
Kuna watu wanarusha picha sio zake humu. Nimeingia You tube sijaona video zake.Hongera kwake, niliangalia kipindi .
Anaweza kuwa 22 Hadi 26Umri wake.mdogo n miaka mingapi??