Huyu mwanadada mdogo ila tajiri sana, ulevi wake upo katika ujenzi wa majumba


Huyu ndio anafaa kuoa sasa, hawa chuma ulete wasubili kwanza [emoji23][emoji23]
 
Hao ni Ma-Slay queen ,walianza na mtaji wa elfu 10 ,jichanganye uone....Ni kama Shamim Zeze 8020 Fashion alivyokuwa anawadanganya wanawake wenzake kumbe behind the scenes wanauza BWIMBWI.
Ramani za wabongo chenga tupu , motivation za wabongo zimekaa kimtego mno, nenda Kwa step Sana unapotaka kumuungia Mtu
 
Siku moja itajulikana ukweli!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…