Ila sijui kwanini MI huwa hawaziamini sana taarifa za ma TI.TPDF kuna idara ya upelelezi wa ndani na upelelezi wa nje, Kwa ufupi nje hupelekwa wafanyabiashara kama kawaida au bloggers, au madreva malori, ndani ndio hubakia bodaboda, malaya, walimu, manesi, makuli, mafundi ujenzi na kadhalika na askari hufanya kazi Kwa weledi haijalishi ana rank gani ya cheo, ( MI) , ulinzi wa nchi sio lelemama hadi wauza mkaa wapo, na kila jeshi kuanzia polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto, na kadhalika wote hao wana vitengo vya intelijensia na hubadirishana taarifa inapobidi hadi kwenye mashirika ya umma kote hao wapo
Sina.Picha yake mkuu
Mwanaume huwezi ukawa una mrefer dada yako kama sisi sote tunamfahamu. Huo ni u gay.Wewe mimi ni Dume la Mbegu mkuu ukinipa demu wako nampanda Hapo nlkua na mquote dada yenu wa marekani tatizo mnakuwa mnamitazamo hasi sana au na ww ni chawa wa mama KIZI nini?
Hivi vinchi vyetu tunajitafuta kwakweliNafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Kwakuwa wananchi hawajitambuihiii nchi ina maigizo sana aise
PyeeeeNilitaka nami niulize ila nkasema hayanihusu maana,,ngoja niendelee na uzi wa deepond
Hapana. Huko alikotoka ndipo penyewe panastahiliLabda Buza au vingunguti
Nyashishi hii hii ya mwabebea au maduka tisaBora wangeniweka hata mimi kutoka huku Nyashishi nikauza madafu
Photoshop hii mkuu
πππ
hadi zimamoto ni jeshi linalohitaji intelijensia, kwenye nini sasa? kutafuta nyumba inayoungua au waliotumbukia kwenye choo? au nini. just curious.TPDF kuna idara ya upelelezi wa ndani na upelelezi wa nje, Kwa ufupi nje hupelekwa wafanyabiashara kama kawaida au bloggers, au madreva malori, ndani ndio hubakia bodaboda, malaya, walimu, manesi, makuli, mafundi ujenzi na kadhalika na askari hufanya kazi Kwa weledi haijalishi ana rank gani ya cheo, ( MI) , ulinzi wa nchi sio lelemama hadi wauza mkaa wapo, na kila jeshi kuanzia polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto, na kadhalika wote hao wana vitengo vya intelijensia na hubadirishana taarifa inapobidi hadi kwenye mashirika ya umma kote hao wapo
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800