BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Namwambiaga huyu hasikii.Atakujibu sasa hiviWewe nae kama lijinga utadhani humu ndani ccm ni peke yako..
Aliyekwambia ukiwa ccm lazima useme uongo ni nani..?
Acha kudhalilisha chama kwani ikiwa imejulikana kuwa ni yeye au siyo yeye inaathiri sipi za ziada kwa serikali na mifumo yake ya ulinzi.
Mwanume gani unakuwa na shobo za hovyohovyo hivi.
Wapi hukumkuta.Mbona muuza madafu jana hakuwepo tena 'site' kwake?
Mimi napenda kufanya uchunguzi na utafiti ndio hufikia hitimisho la jambo na siyo kufuata mkumbo wa watu wanaopenda umbeya na uzushi.Namwambiaga huyu hasikii.Atakujibu sasa hivi
We jamaa utakuwa una matatzo ya akiliNdugu zangu Watanzania,
Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi kutoka kikosi maalumu cha Makomando waliofanya maonyesho siku ya leo ya kuazimisha miaka 60 ya Muungano ni watu wawili tofauti kabisa. Na hapa chini ndio vitu nilivyotizama kwa ukaribu na kuonesha siyo mtu mmoja.
MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Leta sasa picha. Unajipotezea credibility bureeeMimi napenda kufanya uchunguzi na utafiti ndio hufikia hitimisho la jambo na siyo kufuata mkumbo wa watu wanaopenda umbeya na uzushi.
Sijui nikusanue ama nikuache hivyo hivyoNdugu zangu Watanzania,
Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi
MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Tupingane kwa hoja na siyo matusi.We jamaa utakuwa una matatzo ya akili
Sema tu.Sijui nikusanue ama nikuache hivyo hivyo
Usifuate mkumbo wa watu.jifunze kusimama kwenye ukweli hata kama wengi hawaamini.Shida ulipoingia tu CCM akili zikanyang'anywa sasa utawezaje kung'amua mambo rahisi kama haya?
Angalia hapo post namba 26 zimewekwa zingine.Leta sasa picha. Unajipotezea credibility bureee
Mnavyotumia nguvu kujitetea mngekuwa mnaleta maendeleo ingekua safi weka komando hapa weka muuza madafu pale wasalimiane au komando akanunue madafu kwa yule mwana muondoe ubishi vinginevyo acheni keleleNdugu zangu Watanzania,
Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi
MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.