Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Nawafahamu wengi walioko kwenye hiko kitengo, imesaidia system kuwa na updated taarifa kuliko zamani maana Boda Boda wengi hupata taarifa Kwa urahisi hata ukivusha demu usiku wa saa 8 wao hujua

Kama utakuwa threat unadhibitiwa
Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?

Embu tuwa update hawa majasusi wetu wa deal na mambo makubwa huku kwenye bodaboda kumekaa kisiasa zaidi.
 
Mnavyotumia nguvu kujitetea mngekuwa mnaleta maendeleo ingekua safi weka komando hapa weka muuza madafu pale wasalimiane au komando akanunue madafu kwa yule mwana muondoe ubishi vinginevyo acheni kelele
Hatujitetei bali tunaonyesha ukweli ili kuondoa uzushi na upotoshaji wa watu wanaofuata mkumbo.
 
Hatujitetei bali tunaonyesha ukweli ili kuondoa uzushi na upotoshaji wa watu wanaofuata mkumbo.
Hivi wazazi wako wanajua kama unawafedhehesha humu mitandaoni ? Hata machawa wa enzi hizo mitandaoni kina Kimeta Wa Mpuhi hawakua hivi kabla ya uteuzi tuliza kipago wakati mwengine kama sio yeye kuna sababu gani yakutoa maelezo kibao
 
Ndugu zangu Watanzania,

Uchunguzi wa kina nimeufanyika na kuona kuwa muuza madafu aliyeonekana katika viwanja vya ikulu na Mwanajeshi

MAMA ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili kutokana na uchapa kazi wake uliotukuka.
Hakika nimebubujikwaaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi wazazi wako wanajua kama unawafedhehesha humu mitandaoni ? Hata machawa wa enzi hizo mitandaoni kina Kimeta Wa Mpuhi hawakua hivi kabla ya uteuzi tuliza kipago wakati mwengine kama sio yeye kuna sababu gani yakutoa maelezo kibao
Acha kupaniki
 
Kwa nini wasiwe wauza madafu wa kawaida tu?

Watu mnapenda sana conspiracy theories.

Kwani Rais wa Tanzania hawezi kujichanganya tu na raia wa kawaida?

Hao so called watu wa vitengo mnawa exalt sana.
 
Ebu tuwe serious basi, upelelezi unaenda kufanyika kwa kujidisguise kama bodaboda sasa huko unapeleleza nn?

Embu tuwa update hawa majasusi wetu wa deal na mambo makubwa huku kwenye bodaboda kumekaa kisiasa zaidi.
Yaani stori za wabongo kuhusu hao watu wa so called kitengo, unaweza kudhani ni species nyingine kabisa iliyo tofauti na sisi mere mortals πŸ˜€.
 
Yaani hata wewe ulitegemea muuza madafu kama Mimi nijiendee Ikulu kumuuzia the First Citizen madafu? Kuna behind the scenes nyingi tu mnapaswa kujiongeza!
Siasa ni Sanaa!
 
Kwa nini wasiwe wauza madafu wa kawaida tu?

Watu mnapenda sana conspiracy theories.

Kwani Rais wa Tanzania hawezi kujichanganya tu na raia wa kawaida?

Hao so called watu wa vitengo mnawa exalt sana.
Amini unachoona ni sahihi, nami naamini ninachoona ni sahihi, easy tu mkuu.

Nimetoa mfano kipindi cha mrehemu jiwe kuna rasta alikuwa sehemu zote za jiwe kujichanganya, alipokuw kwenye kahawa, kwenye kunywa dafu na hata mahindi, mshikaji alikuwepo tena katika mavazi ya raia wa kawaida kabisa.
Hiki kimenisukuma nisiamini kama wale ni wauza madafu kweli.
 
Commando hawana maajabu yeyote, mpiganaji wa MMA anaweza kumtandika vizuri tu commando tena akakimbia.
Sasa usizungumzie commando wetu ambao tunakutanana nao bar wanavuta sigara na kunywa pombeπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ ndio kituko kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…