Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Ingekuwa system ya namna hii ina exist basi Tanzania isingekuwa na mambo ya hovyo kama ilivyo sasa hivi.
 
ukakamavu wake ungekuwa na legacy kama angetusaidia tukio kama la Traore, nchi ikafanyiwa factory reset a.k,a, * Renaissance *
Na akitaka direct contact na SAS hilo nitarahisisha!
 
Tanzania hakuna elite mixed martial artists.

Hata mabondia elite Tanzania hatuna.

Ila kwa viwango vya Kitanzania, si ajabu kuna posers mnaowaona ni wa maana sana ilhali hakuna kitu.

Heck, hata jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora duniani 🤣.
We Nyani Ngabu maskhara mengine si ya kuandika, inakuwa kama viroja, kwamba

JESHI LA TANZANIA NI LA SITA KWA UBORA DUNIANI!!!

kwamba sasa tunaweza mpiga Iran, Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Canada, Israel, Korea, Urusi, China, Marekani, Japani, nk

Je ktk orodha hiyo ukihesabu sita zako tunaweza kumpiga nani ktk zitakazosalia?
 
Mimi leo nimemuona nikasema huyu si jamaa wa madafu? Nikatafuta kama kuna thread ya yanayojiri maadhimisho ya Muungano niseme hilo nikaikosa nikakaa kimya.

Jamaa tokea namuona siku ya kwanza ile fitness haikuwa ya kawaida.
Angalia usimamaji wake ni wa ukakamavu.

Angalia pia uvaaji wake wa kofia kati ya ile ya kijeshi na ile kofia ya madafu utagundua code za jamaa
 
View attachment 2975020
Hawa ni watu wawili tofauti muuza madafu hata kiumri ni mdogo kwa Komando ingawa wamefanana
Kama una nia ya kupotosha sawa, ila ukweli nikwamba muuza madafu anaonekana mdogo kwa kuwa alilegeza sura ya upole na huruma ili malengo ya sanaa yatimie wakati muuza madafu commando amekaza uso wa mbuzi kulingana na kazi yake inavyomtaka na hapo ndipo uso wake unapoonekana wa kikubwa.
 
Lying is just taking advantage of present time (s), situation and circumstances to hide the truth. But at the same time, it is risk in the future, when those times, circumstances and situation have changed or no longer exist.
 
Kama alinenepa je? Maana ile baskeli, dafu zina maji na taka zake akachoka kusukuma baiskeli mpaka ndani ongezea na hofu ya ikulu lazima apungue kidogo, baadae ya futari akatulia akanenepa akijiandaa na Muungano in relaxing mode...Kwa kifupi ni huyo huyo.

Haya ni makosa makubwa msirudie 🤣🤣
 
Hivi humu huna kuna mtu wa kumsikiliza huyu chawa? Ujinga ujinga huu nani huwa anausoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…