Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,059
- 3,504
Hizi ndo zake Putin wa Kremlin, MaRais Dictator ni Malaika wa Rais Putin wa Urusi.Hii nchi Mtihani sana
Nchi ipo salama, endeleeni kupayuka tu !hiii nchi ina maigizo sana aise
Ukija kizembe ππKwa akil ya kawaida mwananchi akomae kichwa kias iko kama koboko sio rahis huyu n mtu wa mazoez kabsa na ki protocal ndio mana wakakaa mlangon na madafu yao il ukija kizembe unapgwa jeb moja mpka upate stroke
Tena hawa akina maxence ndio majasusi waliokubuhu.Hata wenye Jammie For Harm siyo wa kuwaamini kiviilee. Na hakunaga mkate mgumu kwa chai.
Tena muuza madafu kashika kisu kinan'gaa haswaa na Rais anapita mbele yake tena peke yake hakuna mlinzi nyuma yake bila waswas wowoteToka siku ya kwanza mbona ilikuwa wazi hii, rais ajiachie vile na wauza madafu? Au muuza madafu asogelee ikulu pale, sio rahisi.
Sio kila unachodhani ni kibovu Huwa ni kibovu vingine vimehifadhiwa tuNafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974869
View attachment 2974798
View attachment 2974800
Unadhani hizo taarifa hawana Mkuu, unaweza kukuta wamezifanyia utafiti na wao kujiridhisha hazina madharaIngekuwa system ya namna hii ina exist basi Tanzania isingekuwa na mambo ya hovyo kama ilivyo sasa hivi.
acha umbeaπWatanzania tunachoweza ni umbea tena ule usio na maana wala kutuletea maendeleo.
Vipi lakini huyo mjeda anapatikana kambi gani πππ
Hizi ni akili za kilevi sana kuamini Special Forces anapewa Basics tu..Kuna muda ni vizuri kukaa kimya kuficha ujinga.Maswali mazuri hayo.
Tuanze na fasili kwanza.
Martial arts ni nini? Ni sanaa za mapigano.
Sanaa hizo ni masumbwi [boxing], mieleka [siyo ile ya WWE ya akina Bianca Belairπ], kickboxing, jiu-jitsu, judo, karate, aikido, n.k.
MMA [Mixed martial arts] ni nini? Ni mchanganyiko wa hizo sanaa za mapigano na kutengeneza mchezo au mashindano yanayohusisha hizo aina zote za mapigano.
Kwenye MMA unaruhusiwa kumpiga teke mshindani wako. Unaruhusiwa kumpiga kifuti. Unaruhusiwa kumpiga kipepsi. Unaruhusiwa kumpiga kabali. Unaruhusiwa armbar [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa heel hook [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa kurusha mangumi.
Kwa ufupi, kwenye MMA unaruhusiwa kutumia mbinu nyingi kumshinda mpinzani wako.
Askari wa special forces, wanafunzwa basics tu [mambo ya msingi] za kujihami, basi.
Hapigani kikweli kweli. Anapewa tu hiyo elimu ikitokea anaihitaji, ataitumia kujinasua kutoka kwenye mbananisho.
Professional MMA fighter, yeye ndo ajira yake hiyo. Kupigana na MMA fighters wengine kwenye mashindano.
Sasa, kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu kupewa mafunzo ya msingi ya kujihami na mtu ambaye ajira yake ni kupigana ili aweze kulipwa ujira.
Na ndo maana ni nadra sana kukuta mtu aliyepo au aliyewahi kuwa kwenye special forces kufanya vizuri kwenye mashindano ya MMA.