Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Kuna mjadal umeibuka ktk mitandao wa kijamii kuhusu mwanajeshi anaye dhaniwa kuwa ndio huyuhuyo alionekana ikulu akiuza madafu

Mm nasema Hawa Ni watu wawili tofauti kbsa ,na Bado nahoji kuwa kwanin mnaohoji hoji habari za kipuuzi Sana

Hamjui kuwa samia amepata asilimia 3 kwenye kura za maoni kuhusu mwenendo wa uchumi ktk vipindi vya Marais wanne ,kura akiongo,a magufuli kwa asilimia 58,mkapa 28,jk 17 na Samia kalamba 3 % ,Sasa kwa mantiki hyo serekal ya samia imefanikiwa kuhamisha mjadala kwenda kwenye picha ya muuza madafu vs komando wa jkt
 

Attachments

  • IMG_20240427_104725.jpg
    IMG_20240427_104725.jpg
    109.2 KB · Views: 3
Mkuu yani ndio nimeamini waTz wengi wana matatizo ya kuona yani hawa ni watu wawili tofauti na hawafanani hata kidogo.
 
Kwa akil ya kawaida mwananchi akomae kichwa kias iko kama koboko sio rahis huyu n mtu wa mazoez kabsa na ki protocal ndio mana wakakaa mlangon na madafu yao il ukija kizembe unapgwa jeb moja mpka upate stroke
Ukija kizembe 😂😂
 
Watanzania tunachoweza ni umbea tena ule usio na maana wala kutuletea maendeleo.

Vipi lakini huyo mjeda anapatikana kambi gani 😃😃😃
 
Hata kama sio yeye ila wale waliokuwa wanauza madafu ikulu hawakuwa raia wa kawaida, na pia hawakuwa wanausalama wenye vyeo vidogo. Katika hali ya kawaida nani atakaye kuruhusu umhudumie raisi wa nchi, huku umeshika kisu mkononi? Hicho kitu hakiwezekani kabisa? Lazima uwe mwanausalama.
Kwa hiyo haijalishi ni huyo au sio, ukweli ni kwamba yule muuza madafu hakuwa raia wa kawaida
 
Huyu ni yeye kabisa ukiacha sura hata vimo wanalingana inawezekana aliwekwa pale ikulu katka kuhimarisha ulinzi wa eneo bila raia kugundua.
 
Kama waliambiwa watauza madafu Ikulu wasingevaa hivyo

That was mind trick
 
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.

Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.

Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.

Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakuwa na jibu lake!

Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?

View attachment 2974869

View attachment 2974798

View attachment 2974800
Sio kila unachodhani ni kibovu Huwa ni kibovu vingine vimehifadhiwa tu
 
Ingekuwa system ya namna hii ina exist basi Tanzania isingekuwa na mambo ya hovyo kama ilivyo sasa hivi.
Unadhani hizo taarifa hawana Mkuu, unaweza kukuta wamezifanyia utafiti na wao kujiridhisha hazina madhara

Useme kingine ni suala la rushwa miongoni mwao, chukulia lile suala la wahamiaji haramu waliokamatwa kwenye zile v8 zenye bendera ya Chama

Siku hizi Usalama umehamia hadi kwenye utatuzi wa kero za Wananchi

Iwapo watagundua Kuna jambo linalalamikiwa sana na Wananchi na linaweza kuhatarisha Usalama wa Nchi basi haraka sana wanawatafuta wahusuka ili kutolea maelezo na wakati mwingine kutafuta suluhu pamoja
 
Upuuzi tu watakua wanatuigizia kwenye mambo mengi sana ata hii ya kujidai eti wanyonge waulize maswali sijui kujibu Nini sijui eti wananchi Wa Hali ya chini Amna kitu wanapangwaga hao sema hivi sema vile fanya hivi fanya vile alafu wakasaau kumficha ajitokeze ata baada ya miaka Mingi wakajisaau kweli usimuamini mwanasiasa ni konyo sana
 
Maswali mazuri hayo.

Tuanze na fasili kwanza.

Martial arts ni nini? Ni sanaa za mapigano.

Sanaa hizo ni masumbwi [boxing], mieleka [siyo ile ya WWE ya akina Bianca Belair😉], kickboxing, jiu-jitsu, judo, karate, aikido, n.k.

MMA [Mixed martial arts] ni nini? Ni mchanganyiko wa hizo sanaa za mapigano na kutengeneza mchezo au mashindano yanayohusisha hizo aina zote za mapigano.

Kwenye MMA unaruhusiwa kumpiga teke mshindani wako. Unaruhusiwa kumpiga kifuti. Unaruhusiwa kumpiga kipepsi. Unaruhusiwa kumpiga kabali. Unaruhusiwa armbar [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa heel hook [sijui Kiswahili chake]. Unaruhusiwa kurusha mangumi.

Kwa ufupi, kwenye MMA unaruhusiwa kutumia mbinu nyingi kumshinda mpinzani wako.

Askari wa special forces, wanafunzwa basics tu [mambo ya msingi] za kujihami, basi.

Hapigani kikweli kweli. Anapewa tu hiyo elimu ikitokea anaihitaji, ataitumia kujinasua kutoka kwenye mbananisho.

Professional MMA fighter, yeye ndo ajira yake hiyo. Kupigana na MMA fighters wengine kwenye mashindano.

Sasa, kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu kupewa mafunzo ya msingi ya kujihami na mtu ambaye ajira yake ni kupigana ili aweze kulipwa ujira.

Na ndo maana ni nadra sana kukuta mtu aliyepo au aliyewahi kuwa kwenye special forces kufanya vizuri kwenye mashindano ya MMA.
Hizi ni akili za kilevi sana kuamini Special Forces anapewa Basics tu..Kuna muda ni vizuri kukaa kimya kuficha ujinga.
 
Back
Top Bottom