Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Wewe unasema hamna aliemini muuza madafu anaweza ingia ikulu na kumkaribia raisi na wageni kindezi.??

Hivi unawajua watz vyedi mkuu??
Unapitiaga mitandao inayotumiwa na watz wengi kama facebook na insta uone comments zao??

Ccm ina watu inawatarget sio ninyi wa jf. Nyie hamuwapi kura na wengi hampigi kura, wanalaghai na kutesa hisia za walala hoi.

Kwasasa muamko ni mkubwa kidogo, si ajabu hadi kufika 2035 hali isiwe kama leo, maigizo ya kitoto yatakoma.
 
Utakuwa hujuwi
 
Safi mkuu mpaka watakuelewa!
 
Mi pia nilijua utakimbilia huko kujionyesha kwamba na wewe si haba kwenye Martial Arts.. Nilishawahi kukuambia huko kabla huwa huna hoja za maana kulinda Facts zako....
Nimekuuliza maswali mawili tu!

Umeshindwa kujibu. Badala yake unanishambulia mimi.

Umeshindwa hoja, umeleta viroja.

Bye Felicia 🀣.
 
Akina Dotto Biteko?
 
Nimekuuliza maswali mawili tu!

Umeshindwa kujibu. Badala yake unanishambulia mimi.

Umeshindwa hoja, umeleta viroja.

Bye Felicia 🀣.
Ndio maana nikwambia una utoto ndani yake kwasababu inaonekana umepata burudani sana kwenye kichwa chako kuwa na fikra kwamba nimeshindwa.. Katika maswali yako kungekuwa kuna chembechembe zozote katika kutetea hoja iliyopo mezani ningeweza kujibu.. Nimeona ni maswali yaliyojaa kujikweza zaidi tuone unaelewa Martial Arts kuliko kutetea hoja zako za kipuuzi.
 
Tushukuru Kwa tulichonacho hata sasa..Kulinda nchi na mipaka ni zaidi ya Silaha pia mbinu Za Kibona Damu..Uzalendo unaoonyeshwa na majeshi yetu ktk level mbalimbali si jambo la kubezwa Bali kutukuzwa..

Tunahitaji uwekezaji mkubwa ktk teknolojia na kuongezwa upya Kwa vitengo vya kimkakati Kwa kuzingatia matakwa ya dunia ya leo..

Mathalani jeshi letu lapaswa kuwa na vitengo vya Information Support Force, the Aerospace Force and the Cyberspace Force.Vitengo hivi vihusishe uwekezaji wa kiteknolojia Za Kisasa yanayohusisha AI,Robotics instruments and cybersecurity systems.

Ni wakati sasa baadhi ya nafasi Za uongozi ikiwamo Uwaziri,Unaibu Waziri na Ukatibu mkuu ktk Wizara ya Ulinzi na Kujenga Taifa,Mambo ya ndani wapewe wanajeshi wastaafu Kwa ngazi ya Ujenerali (Generals)..Hili litaimarisha sana weredi na ustawi wa usimamiaji uzalendo Kwa maslahi ya taifa letu.
 
Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!

🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…