Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unasema hamna aliemini muuza madafu anaweza ingia ikulu na kumkaribia raisi na wageni kindezi.??Hakuna cha ujasusi cha maaana kilichofanyika hapo, ni ujinga, utoto wa darasa la kwanza, pale ikulu kulikuwa hakuna maana ya kupeleka muuza madafu mchafu mchafu, kwa nia ya kuonyesha samia anajari saaaana, maisha ya watu,
Hata kwa mtu asie kuwa na elimu kubwa ya ujasusi, chakula, cha ikulu, haununui tu popote na kukipeleka ikulu, wala watu hawaingii ikulu kiholela, lazima security background check up ifanyike,
Sasa wajinga wa ccm, wanataka kutuaminisha kwamba, kuna muuza madafu mmoja, alikuwa anapita zake huko njiani, na mishe zake, wakamuomba aende ikulu auzie madafu watu wanaofuturu!
"Yaani, walinzi wa ikulu, wakaona muuza madafu, wakamuita, " Hey jombaa, una madafu yenye making, na nyama za kutosha? Ndio ninayo! Njoo basi ndani hapa umuuzie samia na, wageni zake! Total crap!
Ile kitu ilitayarishwa, jumbo linalokela, kama walikuwa wanataka madafu ya kitaa, kwanini wadanganye? Na kufanya maigizo! Ule muonekano wa wauza madafu, ni kutokana na mazingira ya kazi Yao, jasho, uchafu wa kukata madafu nk,kuwakaribisha ikulu(sio kweli hakuna muuza madafu aliyekaribishwa ikulu) wakiwa wachafu na nguo za kazi, ni kuwadhalilisha!
Hebu fikiria, upo zako kitaa, Mara gari LA, polisi hilo wanashuka polisi, wanakuambia twende ikulu ukamuuzie Samia madafu!
Nchi imejaa wajinga
Utakuwa hujuwiHakuna cha ujasusi cha maaana kilichofanyika hapo, ni ujinga, utoto wa darasa la kwanza, pale ikulu kulikuwa hakuna maana ya kupeleka muuza madafu mchafu mchafu, kwa nia ya kuonyesha samia anajari saaaana, maisha ya watu,
Hata kwa mtu asie kuwa na elimu kubwa ya ujasusi, chakula, cha ikulu, haununui tu popote na kukipeleka ikulu, wala watu hawaingii ikulu kiholela, lazima security background check up ifanyike,
Sasa wajinga wa ccm, wanataka kutuaminisha kwamba, kuna muuza madafu mmoja, alikuwa anapita zake huko njiani, na mishe zake, wakamuomba aende ikulu auzie madafu watu wanaofuturu!
"Yaani, walinzi wa ikulu, wakaona muuza madafu, wakamuita, " Hey jombaa, una madafu yenye making, na nyama za kutosha? Ndio ninayo! Njoo basi ndani hapa umuuzie samia na, wageni zake! Total crap!
Ile kitu ilitayarishwa, jumbo linalokela, kama walikuwa wanataka madafu ya kitaa, kwanini wadanganye? Na kufanya maigizo! Ule muonekano wa wauza madafu, ni kutokana na mazingira ya kazi Yao, jasho, uchafu wa kukata madafu nk,kuwakaribisha ikulu(sio kweli hakuna muuza madafu aliyekaribishwa ikulu) wakiwa wachafu na nguo za kazi, ni kuwadhalilisha!
Hebu fikiria, upo zako kitaa, Mara gari LA, polisi hilo wanashuka polisi, wanakuambia twende ikulu ukamuuzie Samia madafu!
Nchi imejaa wajinga
Safi mkuu mpaka watakuelewa!Ndugu zangu Watanzania,
Jana hapa nilileta andiko langu nikasema kuwa nimefanya uchunguzi wa kina sana tena sana wa kuchunguza watu hawa wawili kati ya yule komandoo aliyekuwa kiongozi wa kikosi maalumu cha makomando pamoja na yule kijana muuza madafu wa ikulu. Ambapo watu walikuwa wanasema ni mtu mmoja.jambo ambalo mimi nililipinga sana japo andiko langu likaja kuunganishwa na lingine na hivyo kuzima hoja yangu kwa njia hiyo.
Sasa ukweli ni ukweli tu hata ukipingwa na watu wengi lakini unabakia kuwa ukweli tu. Mimi jana nilipingwa na kushambuliwa sana humu jukwaani na wengine kunitukana matusi kuwa mimi nimekurupuka,wengine kusema mimi ni chawa nisiye na akili na wengine kusema mimi ni hasara na aibu hata kwa wazazi walionizaa. Nilivumilia hali na udhalilishaji wote kwa kuwa mimi ni mvumilivu na mtu mwenye ngozi ngumu .hivyo nikaamua kuwasamehe tu kama kawaida yangu.
Sasa leo Ayo Tv wamemtafuta yule muuza madafu wa ikulu na kumfanyia mahojiano ambapo kwa sasa ameweza kununua boda boda mpya kutokana na pesa aliyoipata siku ile Ikulu ,ambapo ameongezea kwenye ile aliyokuwa nayo kama akiba yake.amesema hata yeye alishangaa sana watu walipoanza kumfananisha na yeye mwenyewe aliangalia maadhimisho yale na kushangaa.
Ndugu zangu Watanzania tusipende kufuata mikumbo na kusombwa na ujinga unaokuwa umeanzishwa na mtu mmoja na kuufanya kusambaa kama moto wa petroli na kila mtu kuanza kuiamini bila kufanya utafiti.Mimi huwa sikurupuki na kuanza kuamini jambo na kulisambaza bila kujilidhisha ukweli wa jambo husika.ndio maana jana baada ya uchunguzi wangu wa kina na Elimu yangu ya kumsoma mtu katika uso wake juu ya mfanano ,hasa kwa kuangalia macho,pua,mdomo,paji la uso,upana wa sura ,umbile la mdomo wakiwa wamefumba mdomo ,mkao wa pua kutoka juu pamoja na muonekano wao kwa ujumla nikaja kugundua kwa haraka haraka kuwa ni watu wawili tofauti kabisa.
Ninashangaa watu wengine wenye heshima zao nao waliingia kwenye mkumbo huo wa kuamini taarifa zile za kizushi kabisa.tujifunze kuwa watafiti na watulivu katika mambo mbalimbali na siyo kumezeshwa tu Matango pori au kuimbishwa kama makasuku. Kukumbwa kamwe na katu usimuamini mtu katika habari au taarifa yoyote ile bila ya wewe kujiridhisha ndio ukaitoa.
Leo mimi ni shujaa japo jana nilionekana kama mjinga na mwehu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tatizo hilo!😃Mwambie mama lini ataacha drama??
Nimekuuliza maswali mawili tu!Mi pia nilijua utakimbilia huko kujionyesha kwamba na wewe si haba kwenye Martial Arts.. Nilishawahi kukuambia huko kabla huwa huna hoja za maana kulinda Facts zako....
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kwani dafu moja Aliuza Bei Gani mpaka Akanunua bodaboda?
😀😀 pia nimenunua bodaboda kwa biashara yangu ya madafu,niliyouza ikuluNILIANZA KWA KUUZA MADAFU SITA SASA NI KOMANDOO WA JESHI
Akina Dotto Biteko?Kikachero wapi wanashindwa kuwadhibiti wakimbizi wanaingia mpka kwenye ma vyeo makubwa Serikalini na Utumishi wa Umma Halafu wanaleta Telemundo za Kifilipino na MUUZA NAZI😂😂 Ndo mana Ba hima Empire wanatuona kiusalama na kiinjelijensia weupee peee labda kijeshi
Acha kabisaTatizo hilo!😃
Ndio maana nikwambia una utoto ndani yake kwasababu inaonekana umepata burudani sana kwenye kichwa chako kuwa na fikra kwamba nimeshindwa.. Katika maswali yako kungekuwa kuna chembechembe zozote katika kutetea hoja iliyopo mezani ningeweza kujibu.. Nimeona ni maswali yaliyojaa kujikweza zaidi tuone unaelewa Martial Arts kuliko kutetea hoja zako za kipuuzi.Nimekuuliza maswali mawili tu!
Umeshindwa kujibu. Badala yake unanishambulia mimi.
Umeshindwa hoja, umeleta viroja.
Bye Felicia 🤣.
Sasa si ujibu tu hayo maswali niliyokuuliza!Ndio maana nikwambia una utoto ndani yake kwasababu inaonekana umepata burudani sana kwenye kichwa chako kuwa na fikra kwamba nimeshindwa.. Katika maswali yako kungekuwa kuna chembechembe zozote katika kutetea hoja iliyopo mezani ningeweza kujibu.. Nimeona ni maswali yaliyojaa kujikweza zaidi tuone unaelewa Martial Arts kuliko kutetea hoja zako za kipuuzi.