Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Hayo maigizo ya akina samia ni kawaida sana.

Kama wanaweza kufanya maigizo dhaifu kama haya, unaweza ukakisia ni kwa namna gani wanafanya maigizo katika mambo makubwa zaidi.

The world is indeed a stage. A show.

MAIGIZO YAMETAMALAKI KILA PANDE.
 
Akili za ccm, ni kama bongo fleva, au, bongo muvi,ni sawa na harakati za vijana wa std 7,wakijaribu kutafuta namna ya kupiga chabo kwenye mtiani, hawa, kenge, wameishatudharau wanatuona kama vichaa wa, milembe
 
Kwani CIA wanahusika na Tanzania mkuu? Hiyo KGB unayoitaja unadhani bado ipo? Bongo bhana kila mtu mtaalamu wa kijeshi na kijasusi. Hongera sana
 

Sasa si ukomado ni kazi ya ziada?
Yeye kazi yake ya msingi ni kuuza madafu.
 
Suala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.

Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani

Ikaja Kwa Walimu

Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
Hii ya boda boda nakubalii, kuna kitu nilinote kwa boda m1 hivi hapa mtaani, yaan kwa ufukunyuku wangu niliona sio boda wa kawaida kabisaa,
 
Wa

Wanatuona sisi wananchi ni wajinga na wapumbavu,ila siku yaja watakapoiona tamu ya chungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…