Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za ccm, ni kama bongo fleva, au, bongo muvi,ni sawa na harakati za vijana wa std 7,wakijaribu kutafuta namna ya kupiga chabo kwenye mtiani, hawa, kenge, wameishatudharau wanatuona kama vichaa wa, milembeNafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikua na haja gani,basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakua na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974798View attachment 2974799
View attachment 2974800
Kwani CIA wanahusika na Tanzania mkuu? Hiyo KGB unayoitaja unadhani bado ipo? Bongo bhana kila mtu mtaalamu wa kijeshi na kijasusi. Hongera sanaSijakataa suala ni kwamba wanawa expose sana na wakati inabid iwe kimya kimya kama yule jamaa alielichomea Jiwe Mahindi na Mwingine akampa Jogoo 😂😂😂 yani ni mixer Orijino Komedi Swali Ushawaona KBG au CIA wanafanya huu ukanjanja kwetu ndo kuna bongo movie
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikua na haja gani,basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakua na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974798View attachment 2974799
View attachment 2974800
Ndo maana Gadina kafa
Usikute na mama J wanamjuaNchi imekaa kikachero Sana Hii😊
Hii ya boda boda nakubalii, kuna kitu nilinote kwa boda m1 hivi hapa mtaani, yaan kwa ufukunyuku wangu niliona sio boda wa kawaida kabisaa,Suala la Ulinzi wa Nchi hii uko very complicated.
Miaka ya zamani ilikuwa wanatumiwa watu wenye kuonekana kama machizi Mtaani
Ikaja Kwa Walimu
Na sasa wamehamia kwenye Boda Boda na Wauza madafu hapo Mtaani kwako
Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikua na haja gani,basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakua na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974798View attachment 2974799
View attachment 2974800
Wanatuona sisi wananchi ni wajinga na wapumbavu,ila siku yaja watakapoiona tamu ya chungu.Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa.
Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki.
Wapo waliohoji maigizo yale yalikua na haja gani,basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja akasema anasoma NIT.
Tafadhali tutazame picha na kila mtu atakua na jibu lake!
Pia soma
- Waliouza madafu kwenye futari ya Ikulu wahojiwa, mmoja ni mwanafunzi wa Chuo cha NIT. Ni wauza madafu kweli?
View attachment 2974798View attachment 2974799
View attachment 2974800
Ndo tunashangaa hapo, lolUnaanzaje anzaje kuingia ikulu? Kama unataka kifo sogelea ikulu, ukishaona mtu yupo ikulu na karanga au madafu pigia mstari
Wazee wa kuhamisha magoli hamjamboSasa si ukomado ni kazi ya ziada?
Yeye kazi yake ya msingi ni kuuza madafu.