Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

Siyo yeye ni wamefanana kwa mbali, angalia macho yana distance tofauti kutoka pua to jicho.
 
Na mleta uzi naye ni miongoni mwao, huenda ndiye alimpanga zamu
 
Hi I huwezi kuwa komandoo ukauza na madafu?.
Naona katumia vizuri taaluma yake ya ukomandoo hadi kuweza kupenyeza biashara yake ya madafu ikulu.
 
Muigizaji wetu wa royo tua alileta muvi mpya...
Mjue kutofautisha movie na real life
 
Watu mnakumbukumbu..??

huwenda hata wewe mwandishi ni wale wale mnaokaa Ikulu
 
Tungejiongeza
  1. Tukawaulize walimu wa NIT
  2. Tungeendelea kwenda kununua madafu
  3. Tungemtafuta hata ndugu yake mmoja au jirani yake mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…