kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Kwann usingemshauri akalime ,kuliko huo upuuzi iringa mule ,kalenga kunamabonde ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We've experience kwenye hizo mambo, ni huwa hairudi hiyo ndiyo imetoka.Kwani si alimwambia huyo dogo kua atarudisha jamani
MTIMUE KABLA HAUJAFILISIKABaada ya kuona nmejua mchezo naona anatafuta gia tu nimtimue
sawa🙌🏼We've experience kwenye hizo mambo, ni huwa hairudi hiyo ndiyo imetoka.
Wewe umeshawahi kuirudisha ile uliyotumiwa ya kutolea ulirudisha ?sawa🙌🏼
inategmea kama niliazima siachi kurudisha, ila kama ulinipa sahau😌Wewe umeshawahi kuirudisha ile uliyotumiwa ya kutolea ulirudisha ?
Si unaona ulivyo na Mambo yale yale meusi meusi,inategmea kama niliazima siachi kurudisha, ila kama ulinipa sahau😌
[emoji1787][emoji1787] Me nipo nawe Mwanzo mwisho sifagilii Ushamba.Uzi wangu
Kama alivutafuta kwa jasho lake bila kushirikiana na mtu ni zake ana haki ya kusema ni zakeYaani nimesoma uzi wake nilichogundua ni mmimi sana.
Deal zangu, biashara zangu, hela zangu, kibanda changu na nipo zangu.
Ni mtu wa zangu ili mtu aweze kuishi nae inabidi kumvumilia sana.
Tuitafute na tutumie akili kuiweweka izalishe zaidi sio kupotea kizembe bila plan Wala taarifa za msingiNaelewa hela inauma. Si ndiyo tunakesha tunaitafuta kaka.
KumbeKama alivutafuta kwa jasho lake bila kushirikiana na mtu ni zake ana haki ya kusema ni zake
Unless walitafuta na huyo mwanaka from the scratch msiwaendekeze Hawa Wanawake wa siku hizi ni vichomi sana
HabarikaKumbe
hivi hela zinapewaga tu bila masharti?? 😂inategmea kama niliazima siachi kurudisha, ila kama ulinipa sahau😌
sana...Utoto raha.
SinahajaHabarika
amna🤨, huyo aliazima anatakiwa kulipaSi unaona ulivyo na Mambo yale yale meusi meusi,