Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

Kwann usingemshauri akalime ,kuliko huo upuuzi iringa mule ,kalenga kunamabonde ya kutosha
 
Yaani nimesoma uzi wake nilichogundua ni mmimi sana.
Deal zangu, biashara zangu, hela zangu, kibanda changu na nipo zangu.

Ni mtu wa zangu ili mtu aweze kuishi nae inabidi kumvumilia sana.
Kama alivutafuta kwa jasho lake bila kushirikiana na mtu ni zake ana haki ya kusema ni zake

Unless walitafuta na huyo mwanaka from the scratch msiwaendekeze Hawa Wanawake wa siku hizi ni vichomi sana
 
Back
Top Bottom