mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 896
- 1,435
- Thread starter
-
- #141
Kaka linawezekana hili ilihali sina uhalali wowote wa kummiliki??Umekua dhaifu sana aisee kosa la kwanza ni kumruhusu kulala ile siku ya pili . Nenda kwenye dawati la jinsia na mahusiano kaelezee shida yako atatolewa na vyombo vya sheria. Huenda ukamlipa kiasi
Sio makofi ya hivo mkuu....Endelea kupigwa makofi mzee
Ndiyo maana nakuambia lipeleke hili suala lako lazima kutakua na vipengele vya sheria kwenye ishu kama hiyo na sheria itachukua mkondo wake huna haja ya kutumia nguvu atatolewa na vyombo vya sheria tu kwa wema kabisaKaka linawezekana hili ilihali sina uhalali wowote wa kummiliki??
Sheria ya ndoa tanzania inasema ukikaa na mwanamke miez mitatu ni mke wako hatakama hamujafunga ndoa.unawezaje kusema hukupanga kuish nae na kila siku ulikua unaacha kod ya meza anakupikia anakufulia anakupa uroda ulikua unamlipa nin?Ndiyo maana nakuambia lipeleke hili suala lako lazima kutakua na vipengele vya sheria kwenye ishu kama hiyo na sheria itachukua mkondo wake huna haja ya kutumia nguvu atatolewa na vyombo vya sheria tu kwa wema kabisa
π€π€π€Tafuta chumba mbali na hapo kale deal na afisa mikopo waje wasombe vitu umeshindwa kulipa mkopo ila anza kujenga mazingira ulalamike una mkopo umekopa microfinance jitie mawazo haulali halafu wake kubeba kumbe wanakuhamisha weeee hakai halafu wewe jifanye waenda kukaaa Kwa mshikaji.
dronedrakeMnyakyusa?
Wanaume tunaisha sana jamaniMume, amka zako kama unaenda job beba nguo....tokomea huko muache abaki anadate mwenyewe.
Baba mmeru mama mnyeramba.Mnyakyusa?
WanapendanaHata we unampenda bana haiwezekani afanye hivyo aache kwake
Umempambaa mwishoni unampoteza sasa mtoa mada πMwachie,
Kila kitu sepa Anza upya wahenga husema
""KUANZA UPYA SIO UJINGA""
NB;
""LOVE IS JUST LIKE A WAR EASY TO START DIFFICULT TO END""
MIMI HUOGOPAGA SANA KUTONGOZA INNOCENT WOMEN THEN NIKAWAACHA SOLEMBA..
NILICHO JIFUNZA KWAKO WEWE NI GOOD BEHAVED PERSON ππππ TUKUFUNDISHE JINSI YA KUMPIGA KIBUTI DEMU??!
Mimi pia na roho ndogo na nyepesi na nikianzisha uhusiano walikuaga Wana fall in love hatare..
Wanaume hatufundishwi kuacha mahawara zetuπππ
Ninachomshangaa kafika nae mpaka anastuka baadae ya mwanamke kuchange tabia....ina maana demu angeendelea kuwa mpole mimba angepata na jamaa angestuka haaa hii si mimba hii.Hapo ww ndo unatatizo unaanzaje kukubali kuishi na mwanamke na unaruhusu awe kama mke kabisa ilhari una mwanamke mwingine ana mtoto wako? Unashida kwenye ubongo! Na tyr mwaka umeisha unaye sasa sku zote ulikua wapi? Hata mlevi hawezi kufanya decision za namna hio labda alikuroga.
Sheria ya ndoa haisemi miezi 3 ni miaka 2Sheria ya ndoa tanzania inasema ukikaa na mwanamke miez mitatu ni mke wako hatakama hamujafunga ndoa.unawezaje kusema hukupanga kuish nae na kila siku ulikua unaacha kod ya meza anakupikia anakufulia anakupa uroda ulikua unamlipa nin?
[emoji2][emoji2][emoji2] kazi unayo.Sio makofi ya hivo mkuu....
Unakuta umelala usiku unakoloma kumbe mtu ameshika simu na ameona notification(hii ata kama simu inalock),mara unasikia paa kofi zito la mgongo unaamka unakutana na simu usoni,huyu nani.
Kaka napitia wakati mgumu sana.