Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
-
- #21
Mkuu na Mimi najitafakari nianzishe kanisa langu nipige mpunga, haiwezekani watu wanapiga pesa kirahisi kabisa....Sisi ambao tupu kwenye hii tasnia tunapiga pesa sana na panalipa Kwa kwel ,hasa ukiwa na watu pesa ipo nje nje
Aisse watu wakatili sanaSi wakimaliza zinarudishwa.
Huonagi hata mnada wa nguo, mtu anataja ofa anarushiwa nguo baadae unamuona mtu anapita kuzikusanya kisha zinarudishwa.
Hapo wewe usiejua ndio target.
Kuna mmoja huwa anaongea redioni usiku, anapigiwa simu lakini ukisikiliza kwa makini sauti ya huyo dada mpiga simu ndio ile ile siku zote ila wajinga wananasa kila siku.
Halafu huwa wanaitegesha simu inakua bize, muda wote unasikia simu inaita kumbe mtego uone watu ni wengi wanapiga simu kumbe trick tu.
Mkuu umeongea point Sanaa, kwahiyo hizo Hela ni za freemason??Kila mmoja anapewa masharti yake.
Hilo ni sharti lake, siku akilipuuza atawekwa benchi.
Pesa ya sadaka pale si nyingi ya kuweza kumranya jamaa agawe Bajaj, magari, pikipiki na pesa.
Wengi pale zimewapeleka njaa , hivyo hakuna sadaka kubwa
Daah....au wanakusaidia lakini Kuna namna wanakuibia nyota?Iv unamjua huy msanii GOZBET wa nyimbo za injil kuna hesab alipewa na gar juu sahiv una faham alipo IKO SIRI ILIO JIFICHA KWA WALIOFANIKIWA
Yupo wapi mkuuIv unamjua huy msanii GOZBET wa nyimbo za injil kuna hesab alipewa na gar juu sahiv una faham alipo IKO SIRI ILIO JIFICHA KWA WALIOFANIKIWA
Aisee nomaaHata mtoto wake Nisher rip , alikuwa mtoaji Sana .
Mwamposa ni Mfanyabiashara asierudisha kwa jamii ila anachukua kwa jamiiMbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??
acha tamaa..🤣Kanisa lake liko wapi?
Hili sikuwahi kulijua mkuu, kumbe mwamposa ana watu nyuma yake aiseeMwamposa ni Mfanyabiashara asierudisha kwa jamii ila anachukua kwa jamii
GeoDavi ni Mfanyabiashara anaechukua kwa jamii kisha anarudi kwa jamii na kurudisha kwa jamii
Kwa hio usiwafananishe kingine GeoDavi alikuwepo kabla ya Mwamposa hilo ulikumbuke, vipindi vyake vilikua vinaruka Channel 10 kipindi hicho Mwamposa yupo barabarani na spika kubwa anatafuta watu wa kumfadhili
Mwamposa kilichomweka na kumpaisha kibiashara ni wawekezaji waliopo nyuma yake na wanahisa walioweka Pesa zao kwake lile jina unalosikia Arise & Shine ni brand name ni Kampuni km ilivyo GSM na MO na Azam
Pesa ukiwa nazo nyingi unatoa mfano makanisa ya Roman mengi yanajengwa na wenye Pesa popote utapoenda ukiona kiota cha Roman kimekubari jua kuna wenye Pesa nyingi walijenga kwa kutoa Pesa zaoPesa zingine siyo pesa unaweza ukapokea kumbe umepokea mnyauko wa kiroho.
Nitakupitia na Range yangu j2 ijayo tukachukue sadaka. Tutaomba milion 98 ili atupe mil 100.Ni kila jpili tu? Niangalie namna ya kwenda wiki ijayo.....nikasali huko
Eeh ni km alivyo Harmonize na Jembe au Diamond na Salam, Babu Tale & Mkubwa Fella ndio the same kwa Mwamposa kuna wajuba wapo nyuma pale wanagawana asilimia yeye kazi yake ni kupiga show tuHili sikuwahi kulijua mkuu, kumbe mwamposa ana watu nyuma yake aisee
Unaeza enda ukaishia kukunjwa chunga tamaa mbayaNi kila jpili tu? Niangalie namna ya kwenda wiki ijayo.....nikasali huko
Eeh ni km alivyo Harmonize na Jembe au Diamond na Salam, Babu Tale & Mkubwa Fella ndio the same kwa Mwamposa kuna wajuba wapo nyuma pale wanagawana asilimia yeye kazi yake ni kupiga show tu
Wale masheikh kuna wawili nawajua alafu wala siyo masheikh wale ni wapigaji tu janja janja walienda kumlia hela tuKuna masheikh walipewa mshiko, wasanii, munishi naye aliwahi kupewa gari. Pesa anayo naye ameamua kugawa mrejesho wa sadaka, ila ni mtata