Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.

Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa

Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo

Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili

Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani

Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa

Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??

Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??

Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Sasa amesha kusanya za wajinga za kutosha , kajiwekeza sasa anatumia tatizo liko wapi hapo
 
Kwahiyo kwako unaona hakuna tatizo kabisa???, vipi na ww angekuwa amekusanya zako na ww ungekuwa miongoni mwa hao wajinga ndio ulichomaanisha si ndio??
Sasa amesha kusanya za wajinga za kutosha , kajiwekeza sasa anatumia tatizo liko wapi hapo
 
Zinakuhusu hela zake au kuna mtu kalalamika kaibiwa si watu wanapeleka hizo jela shida iko wapi?
 
Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.

Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa

Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo

Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili

Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani

Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa

Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??

Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??

Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
No free Lunch mkuu fanya kazi pata pesa zako hao unaoona wanapewa sio bure bure dunia yetu hii ina Siri nyingi sana
 
Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.

Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa

Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo

Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili

Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani

Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa

Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??

Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??

Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Ukipewa utakataa ? Au una lalama kwasababu hujapewa?
 
Mind of limitations at work.

Wewe ndio tatizo, unahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho.
Mana una amini katika uhaba, nafsi yako inakinzana na concept of abundance. Na nahakika hata kwenye maisha yako unapambana na uhaba bila kujua wewe ndio muumbaji wa uhaba huo.

Watu wapate zaidi na zaidi, na kupata kwao kuwe baraka kwa wengine pia.

Nabii Geordavie yuko sawa, mana Mungu anamtumia kama "conduit" kupeleka baraka zake kwa wengi.

Na baraka hizo zifike mbali zaidi, hadi kwenu pia ziwaguse watu wenye uhitaji ambao na amini wapo. Nao ziwafikie, ziwabariki katika njia tofauti tofauti.

Mwisho, kwani Geordavie akiwapa watu ela wakakidhi mahitaji yao kwa ukubwa au kwa udogo WEWE INAKUUMA NINI? Uchunguzi pekee wakufanya ni UJICHUNGUZE KWA DHATI KABISA KWANINI WENGINE WAKIPATA ELA WEWE UNA UMIA??
Bila shaka utakuwa umesoma kitabu cha 'The Secret' mkuu
 
Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.

Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa

Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo

Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili

Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani

Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa

Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??

Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??

Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Sadaka tu.
Nenda pale ukashuhudie.
Mimi nilikwenda.
Watu wanaitwa kwenda kwenye madhabahu kutoa sadaka.
Wanainuka,wanaenda kutoa sadaka,halafu wanarudi kukaa.
Wanaitwa mara moja.
Wanaitwa mara tano.
Wanaitwa mara kumi.
And that is just the beginning.
 
Back
Top Bottom