Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.

Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa

Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo

Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili

Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani

Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa

Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??

Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??

Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Sadaka zenu
 
Yupo wapi mkuu

Kitu usichofahamu Gozbert alinyanganywa account zake za kuuza Mziki ikiwemo YouTube.

Meneja aliyekuwa anamsimamia waliachana .

Na meneja huyo sasa anamsimaia Obby Alpha

( aliyeimba bora kushukuru)

So ukimya wake na kutosikaka ni kuwa hana financial support Kama zamani
Haya matatizo yanatengenezwa mkuu jamaa alicheza na nyota ya blaza akajaa kwenye mfumo kila kit kwake kikawa sio pw SIO KILA KICHAA NI KICHAAA kuna wat wanapiga pesa ming kupitia wat kama hao
 
Back
Top Bottom