Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio alitaka ni wale waliopo nyuma yake waliowekeza Pesa zao kwake ndio walitaka kulinunua unajua hata Jina lake analitumia kibiashara zaidi sio kidini sijui unanielewa Mwamposa huwezi kumtofautisha na Young Lunya na Sony Music Africa, wawekezaji waliowekeza nyuma yake wanatumia kila namna brand iendelee mbeleNdio maana niliskia Lile eneo la kawe alitaka kulinunua serikali wakagoma sijui Kama ni kweli?
😆😆😆😆😆Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.
Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa
Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo
Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili
Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani
Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa
Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??
Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??
Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Rc hawagawi pesa.Pesa ukiwa nazo nyingi unatoa mfano makanisa ya Roman mengi yanajengwa na wenye Pesa popote utapoenda ukiona kiota cha Roman kimekubari jua kuna wenye Pesa nyingi walijenga kwa kutoa Pesa zao
Huyo cha mtoto, Pdidy anagawa pesa Balaa, muulize diamond.Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.
Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa
Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo
Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili
Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani
Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa
Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??
Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??
Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Kukunjwa ni kufanya niniUnaeza enda ukaishia kukunjwa chunga tamaa mbaya
Nautafuta ufalme wa mbinguni, niacheni jamani.....acha tamaa..🤣
Utaingizwa mjini kwa maigizo kuwa makini.Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili
Unataka niamini kwenye concept kuliko reality????.....ulichokiandika mbona hakina point yoyote???......labda km na ww ni mmoja wa kondoo wake period!!Mind of limitations at work.
Wewe ndio tatizo, unahitaji msaada wa kisaikolojia na kiroho.
Mana una amini katika uhaba, nafsi yako inakinzana na concept of abundance. Na nahakika hata kwenye maisha yako unapambana na uhaba bila kujua wewe ndio muumbaji wa uhaba huo.
Watu wapate zaidi na zaidi, na kupata kwao kuwe baraka kwa wengine pia.
Nabii Geordavie yuko sawa, mana Mungu anamtumia kama "conduit" kupeleka baraka zake kwa wengi.
Na baraka hizo zifike mbali zaidi, hadi kwenu pia ziwaguse watu wenye uhitaji ambao na amini wapo. Nao ziwafikie, ziwabariki katika njia tofauti tofauti.
Mwisho, kwani Geordavie akiwapa watu ela wakakidhi mahitaji yao kwa ukubwa au kwa udogo WEWE INAKUUMA NINI? Uchunguzi pekee wakufanya ni UJICHUNGUZE KWA DHATI KABISA KWANINI WENGINE WAKIPATA ELA WEWE UNA UMIA??
Utaingizwa mjini kwa maigizo kuwa makini.
Muache atumie pesa yake anavyotaka.Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa.
Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa
Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo
Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili ( 200,000 ) kwa ajili ya kufanya biashara akampa laki tano( 500,000 ) mwengine kaomba laki nane akapewa milioni mbili
Kina mkaliwenu, hamorapa na wenzie kawaita kusalimia, kila mtu akapewa milioni.....kiufupi jamaa anagawa Hela Kama njugu yaani
Sasa nimejiuliza haya maela YOTE huyu nabii anatolea wapi??, Kuna nyuzi huku ziliwahi kuonesha pia magari yake ambayo ni mengi Sanaa Tena ya bei kubwa
Huyu ndugu ni sadaka TU ndio vinampa hizi Hela zote??,au Kuna inshu nyingine nyuma yake??
Mbona hata mwamposa anapiga Hela Sanaa lkn sijawahi kuona anafanya kitu Kama Cha huyu nabii??
Ama kweli Dunia inaenda kwa Kasi sanaa
Ndio maana nimehoji ila Kama vp na Mimi nianzishe huduma ili twende sawaUmasikini ni mbaya sana .tafuta pesa utaona kawaida kutumia pesa zako utakavyo.
All the best
Hahahaa.......Umenikumbusha Siku Moja nikiwa Mombasa Kenya.Huonagi hata mnada wa nguo, mtu anataja ofa anarushiwa nguo baadae unamuona mtu anapita kuzikusanya kisha zinarudishwa.