Huyu ndiye aliyemtukana Rais Kikwete na sasa anatukana Marais wenzake

Jamaa muongo muongo sana, kasema world bank data zao Rwanda poverty ni 52%, wakati ni 48% tu, sijui anahisi hatujui kusoma
 
rudia Tena pengine nitaaelewa
 
Niwekee link hilo pdf hata halina source halijulikani linapotokA, kama mimi nilivyoweka source za world bank na wewe weka source ulipotoa hio pdf.
Haijulikani inapotokea kivipi? Link uliyoweka haikuonyesha Rwanda ilikua no Tanzania tu. PDF ya world bank huitaki???
Link hiyo hapo, onyesha wapi Kuna 52%
 
Gini coefficient ya mwisho Tanzania kuchukuliwa ni hio 40, tena kipindi Cha jiwe ambapo Uchumi uliporomoka, wafanyakazi hawajaongezewa mishahara etc, sasa hivi wafanyakazi wa Chini wameongezewa mishahara by 20% na annual increment inaongezeka hakuna data Mpya ila ni nzuri kuliko hio 40, for the sake of discussion tutumie hio hio 40.

At same Time huo mwaka 2019 ambao yetu ilichukuliwa Gini coefficient yetu ilichukuliwa Ya Rwanda ilikua ni 46


Na hata tukichukua data za Tanzania za 2019 na Rwanda sasa hivi still tupo juu.

Na indicators nyengine zipo nyingi uwe tu zezeta ndio hutaona kama Tumewazidi kila idara hao Rwanda.
 
kwa hiyo utalii haihusishi natural resources ? Nini unachojaribu kupindisha ? Acha kuleta siasa hapo ongeza na kilimo
 
Hiyo sio tu Afrika bali duniani kote pia sio kigezo kuwa kila nchi ndogo kwa udogo wowote imeiacha mbali nchi kubwa na ndio maana Tanzania yenye watu milion 62 sio sawa GDP per capita na China yenye watu Biln 1.4 hapo sijui Tanzania inaingia mara ngapi kwa China
 
Kipindi cha jiwe ndio kipindi mliingia huko LMI angalau kuwa na shukurani naye pale unapoitetea CCM chovu dhidi ya Rwanda chovu maana bila uwepo wake wenda hata baadhi ya tudata twa kuokoteza twa kuibeba CCM usingepata.
 
kwa hiyo utalii haihusishi natural resources ? Nini unachojaribu kupindisha ? Acha kuleta siasa hapo ongeza na kilimo
Utalii not necessarily kutumia Natural resources, kuna nchi kibao zina watalii kushinda kwetu na hawana natural resources kama za kwetu. Pia huo utalii mchango wake kwa pato la Taifa ni mdogo ni around 3.5B usd na Madini ni kama $1.4B usd wakati pato la Taifa Kw Ujumla ni around $80B so hata ukitoa Utalii na MADINI Tanzania still pato letu la mmoja mmoja ni kubwa Kushinda Rwanda.

Tanzania Pato la Taifa ni Kampuni za Sigara, Pombe, Benki kama Nmb na Crdb, Wafanyabiashara kama Kina Bakhresa, Metl etc.

Kilimo Tanzania pia bado sana, percentage wise hatujatofautiana sana na Rwanda.
 
Tuwewazidi nini bwana wewe unavyo ongea ni kama Marekani na Burundi tuna discuss hapa as if Tanzania ni mbingu na Rwanda ni ardhi unafurahisha
 
Kipindi cha jiwe ndio kipindi mliingia huko LMI angalau kuwa na shukurani naye pale unapoitetea CCM chovu dhidi ya Rwanda chovu maana bila uwepo wake wenda hata baadhi ya tudata twa kuokoteza twa kuibeba CCM usingepata.
Tuliingia LMI wakati wa Kikwete, Tukatoka mwaka wa uchaguzi, 2014 Gdp per capita ili fika $1000 na GNI ilikua kama 39 kama kumbukumbu zipo sahihi.
 
Hakuna Mtu anaekataa China imetupita ila shelisheli wana Gdp per capita Kubwa kuliko China, kuonesha kwamba ni rahisi nchi ndogo kuwa na GDP per capita kubwa.

Hapa hapa Tanzania Znz wana Gdp per capita $2500 ambayo ni zaidi ya mara 2 Ya Tanzania kwa Ujumla, sababu Znz ni wachache.
 
Acha porojo mzee.
"Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni muhimili wa maendeleo ya uchumi. Sekta hii inachangia kiasi cha nusu ya pato la Taifa, robo tatu ya bidhaa zinazouzwa nje ya nchi na chanzo cha chakula pamoja na utoaji wa fursa za ajira zaidi ya 75% ya Watanzania"

Waziri mkuu wa Tanzania amesema Sekta ya maliasili na utalii ni chanzo kikubwa cha mapato ya Taifa kwa kuwa inahusisha shughuli nyingi za kiuchumi. “Sekta hii peke yake inachangia asilimia 21.5 katika pato ghafi la Taifa ambapo asilimia 17.2 ni utalii, asilimia 4.3 ni misitu na nyuki”. Aidha, amesema kuwa Sekta hiyo inachangia asilimia 30.9 ya mapato ya fedha za kigeni ambapo asilimia 25 yanatokana na utalii na asilimia 5.9 ni misitu na nyuki.
 
Sawa ni hio Asilimia 21 ndio kilimo, Rwanda Kilimo ni Asilimia 27, so hatuwapiti Rwanda kwa Kilimo,
 
Wote hao Seychelles na Zanzibar wana hizo advantages huwezi kuziweka kwenye uzani sawa na Rwanda .

Mzee ujue tunaizungumzia hapa Rwanda sio Bagamoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…