Huyu ndiye aliyemtukana Rais Kikwete na sasa anatukana Marais wenzake


Ngoma ikivuma sana...
 
Unajua kusoma? Kwa data ulizoweka Tanzania gini coefficient ni 48%. Hiyo yako ya 40% umeitoa wapi? Fungua tena hiyo link tafuta Tanzania alafu angalia na hiki umeandika


Kama ulivyosema tutie data hizi, basi Rwanda Wana 46% na Tanzania tuna 48%.

UACHE UWONGO UWONGO
 
Unajua kusoma? Kwa data ulizoweka Tanzania gini coefficient ni 48%. Hiyo yako ya 40% umeitoa wapi? Fungua tena hiyo link tafuta Tanzania alafu angalia na hiki umeandika
View attachment 3223545
Boss nishakwambia screenshot unanichanganya, tumia link, nimepost link zaidi ya 50 nianze kupitia moja moja hadi nione screenshot yako?

Tanzania haina Gini coefficient toka kipindi cha jiwe na tulijitoa kabisa wakati wake kwenye kutoa data za Serikali kwa uwazi
 
For the sake of discussion tuendelee na hio 48% vs 43% kama data zinavyoonesha still gape ni Kubwa 5% ya 60 million ni 5 million people, Tanzania imekomboa watu milioni 5 zaidi toka kwenye Umasikini,

Na mtu anapokupa criteria usitumie moja tu changanya sasa zote hizo, Gdp per capita, gini coefficient, poverty rate etc ndio unapata idea jinsi gani tumewapita
 
Mkuu una matatizo? Umeweka link nimefungua, kwenye hiyo link Tanzania Ina gini coeff ya 48%, ndio nikascreenshot kuketea maana huenda hujui ulichoweka.

Hiyo link uliyoweka ifungue alafu tafuta Tanzania uone. Kwani we hiyo 40% kwenye hiyo link umeiona wapi??

Kwenye hiyo link yako Rwanda ana 46%, Tanzania tuna 48%. Nimescreenshot kwenye Tanzania ndio nikakuwekea uone, bado hujaelewa?
 
Mkuu una matatizo mahali? Mwanzo ulisema 52% ukasema umeweka link tusome, but link uliyoweka haikuwa ya Rwanda ilikua ya Tanzania pekee, ukaanza kubisha

Nikakuletea ya Rwanda, bado ukabisha. Nimekuwekea link ya hao hao world bank kuhusu Rwanda alafu unasea for the sake ya discussion. Kwani ulipoweka data za Tanzania kutoka world bank ulihisi za Rwanda hazipo? Kwa nini uliongopa kuwa world bank data zao zinaonyesha Rwanda Ina 52%??

Kwa nini pia uliweka link ya world inayoonyesha Tanzania tu alafu ukawa unasema na Rwanda zipo?? Hujui kusoma au link unazoweka huzielewi?? Au unahisi sisi hatujui lolote??
 
Keyboard warriors na nyie watoto wa 2000 mnapenda vita sana. Siku mkiipata mtakua mabalozi wa kutoa elimu
Watoto wa 2000 tuwasamehe tu. Wamepata akili ya kujitambua bila kushuhudia majanga mengi. Hakuna vita hakuna ukimwi ndio maana haya majanga wanayachukulia poa. Kama wangejua vita inakuaje wangejua mgonjwa wa ukimwi aliekua mahututi kitandani anakuaje wangeelewa
 
Si u copy link uweke? Nimeweka link zaidi ya 50 siwezi pitia kila link niangalie.

Na gini coefficient hazipimwi kwa asilimia na wala. Hizo namba haimaanishi asilimia.
 
Wapi nimebisha unaelewa maana ya "for the sake of discussion tutumie 48%?"

Lengo langu toka mwanzo ni kuonesha Tanzania ipo vizuri kuliko Rwanda, hata nikitumia data zako za 48 kwa 43 still zinaonesha Tanzania ipo vizuri zaidi, what's the point hata nikibisha? Wakati data zako zina prove point yangu?
 
Hiyo link uliyoweka hapo ni wapi Tanzania inaonyesha Tanzania Ina 40?? Sasa hivi unajifanya kusahau link uliyoweka unataka nikukumbushe

Link umeleta wewe inaonyesha 48 bna sio 40 Kama ulivyosema, alafu unataka kujifanya umesahau ulichoweka
 
Toka mwanzo nilikuambia Tanzania tumeizidi Rwanda kidogo Sana, sio Kama unavyosema. Ndio ukaleta mambo ya hizo data ambazo ukataka tena kutufanya wajinga ukasema world bank data inaonyeha Rwanda Ina 52% kitu ambacho so kweli

43 kwa 48 sio gap kubwa kiasi Cha kufanya uandike uongo wote ule
 
Uongo, Dar es Salaam ina slums nyingi kuliko Kigali.
Pia Kigali ni mji safi na salama zaidi barani Africa.
 
Si u copy link uweke? Nimeweka link zaidi ya 50 siwezi pitia kila link niangalie.

Na gini coefficient hazipimwi kwa asilimia na wala. Hizo namba haimaanishi asilimia.
Link umeleta mwenyewe alafu hujui kilichomo humo. Wapi Tanzania Ina 40 Kama ulivyosema?
Comment yako hii uliyoweka link Ni wapi Tanzania Ina 40?
 
 
Uongo, Dar es Salaam ina slums nyingi kuliko Kigali.
Pia Kigali ni mji safi na salama zaidi barani Africa.
Muongo kinoma, alafu anavhoweka hata hakijui. Akikuwekea link fungua ndano utakuta tofauti na anachoandika
 
Ila zinatofautiana huo umasikini, we unafikiri kwanini nchi jirani kama Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo etc wengi wapo Tanzania wa natafuta maisha? Tanzania tuna u afadhali sana huu ukanda wetu,
Itakuwa huelewi jinsi binadamu wengine wanavyofanya maisha yao. Wahindi, Waarabu na Wachina kuwa wengi Tanzania sio kwamba Tanzania ni kuzuri sana kuliko India, China na Uarabuni.
Wabongo acheni mawazo ya kwenye chungu.
 
Haka kajamaa kakukaua tu,kanajifanya so special sn.kana jeuri balaa 77
 
Kikwete siyo mchezo. Alimshughulikia jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…