Ni mtoto wake wa Pili..Ila nadhani siyo Christopher Mwakasege.Maana anaitwa Ana Tusajigwe
Asante sana kwa kumkamata kwa uongo huyo MATAGA wa lumumbaSio kwa watt wa Mwalim!
May be humfaham vizuri huyu baba!ye na familia yake na mambo ya vyama tofauti!
Alishaweka wazi hili!
Ndiyo huyo.Mi najua mwalimu mwakasege ana mtoto wa kike rubani, ila sijawahi kumuona (kumfatilia) bila shaka ndio huyu
Kwa hiyo unavyolishwa na mkeo na kuwekewa bundle hujiulizi pesa anapata wapi? Au unafikiri pesa zinagawiwa bure?Alaaa kumbe binadamu huwa anajiuza?
Unacho kisoma na unachokijibu ni mbingu na ardhiKumbe wewe ndio kati ya wale wanaume wanajiuzaga pale?
Hongera zake binti mwakasegeNdiyo huyo.
Asante sana kwa ufafanuziNi mtoto wake wa Pili..
Na kwenye Semina zake mara chache huwa anakuwepo...Na anamtambulisha..
Wakiwepo watoto wake wote anawatambulisha pia.
Msimamo wa mwalim sio msimamo wa watoto wake wenye unri zaidi ya miaka 18Sio kwa watt wa Mwalim!
May be humfaham vizuri huyu baba!ye na familia yake na mambo ya vyama tofauti!
Alishaweka wazi hili!
Nani kasema kuna ajabu iliyofanywa na huyu binti?Ebu acheni kutuchosha wazee kila mtu na stress zake...
sasa kipi cha ajabu Hapo?duh
Hahahaaaa...... Nimeona leo Halima Mdee kamwakilisha mwenyekiti wa Chadema taifa msibani.Kaposti utopolo kama wa johnthebaptist ndo maana...
Anyway; nishamuomba radhi!
basi jitulize uendelee kulelewaUnacho kisoma na unachokijibu ni mbingu na ardhi
Wewe unajiuza sh ngapi?Kwa hiyo unavyolishwa na mkeo na kuwekewa bundle hujiulizi pesa anapata wapi? Au unafikiri pesa zinagawiwa bure?
Niambie bei yako imesimamia ngapi?basi jitulize uendelee kulelewa
Labda ndege haina sterling powerMbona Kama mkono wa Baunsa...[emoji41]
Ni mtoto wa Mwl. Mwakasege.Ila nadhani siyo Christopher Mwakasege.Maana anaitwa Ana Tusajigwe
Wewe unajiuza sh ngapi?
Ni 1st born wake!Ni binti wa Mwalimu au ni jina na sura tu zinafanana??