Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Huyu ndiye binti wa Mwl Mwakasege ambaye ni mmoja wa marubani aliyerusha ndege iliyobeba mwili wa Rais Magufuli

Ebu acheni kutuchosha wazee kila mtu na stress zake...
sasa kipi cha ajabu Hapo?duh
 
Sio kwa watt wa Mwalim!
May be humfaham vizuri huyu baba!ye na familia yake na mambo ya vyama tofauti!
Alishaweka wazi hili!
Msimamo wa mwalim sio msimamo wa watoto wake wenye unri zaidi ya miaka 18
Kwa yaliyotokea kwa Josh alitumwa na babake?
Jiongeze
 
Wewe unajiuza sh ngapi?

Njoo tukuajiri uache kutunzwa na mwanamke kwa kwenda kujiuza. Nitakua nimemsaidia sana mwanamke mwenzangu

Ila nina wasiwasi kwa akili zako kama utaweza kazi
 
Back
Top Bottom