Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Ni mtoto wake wa Pili..Ila nadhani siyo Christopher Mwakasege.Maana anaitwa Ana Tusajigwe
Na kwenye Semina zake mara chache huwa anakuwepo...Na anamtambulisha..
Wakiwepo watoto wake wote anawatambulisha pia.