Huyu ndiye Christopher Kasanga Tumbo (RIP) - Mwanasiasa Machachari

Unapewa ubalozi huridhiki, unamwona aiyekuteua ni bwege, unaacha ubalozi ili uje umshugulikie, ukiwa ma paund 60,000 za kummaliza, akikugeuzia kibao eti dicteta. Mlitaka nchi iwe kama Somalia ili mradi tu Jamaa zenu waitwe marais
 
Kuna kitabu cha Historia kilichochapishwa 1965 kinaitwa "The Making of Tanganyika". Mwandishi ni Judith Listowel. Kina facts nyingi kuhusu mambo yanazungumzwa hapa. Nilikisoma kama miaka thelathini iliyopita. Judith Listowel alikuwa jikoni na alifahamu michango ya akina Kambona na maasi ya 1964 kwa undani. Kitafuteni hicho kitabu kwenye maktaba.

Nilihudhuria semina ya kwanza ya kuhusu vyama vingi, baada tu ya vyama vingi kuruhusiwa tena. Ilifanyika IPS building (I am trying to remember). Kasanga Tumbo, Mapalala, na Mabere Marandu walihutubia.
 
Tatizo kuu la MWALIMU hakutaka kuruhusu mawazo mbadala kwa kujiona anajua kila kitu angemsikiliza Kambona mambo yasingeharibika sana.Alikuwa na chuki na matajiri kwa kuamini umasikini ni fahari kwa kukumbatia Sera za ujamaa, ikiwemo vita feki ya uhujumu uchumi kwa kufirisi watu mali hata walizopata kihalali. Akasababisha watu wawe na tabia ya ulevi na uzinzi kwa kuoa wake wengi kwa maana ukikutwa na mali nyingi ni kosa na huwezi weka bank nyingi utafatiliwa,hivo ukizipata sababu ya nafasi yako ni kuzitumbua tu.Ye ndo msababishi wa wazee wetu wengi kufa masikini hali nafasi walikuwa nayo. Kwa mazuri mengi tumpongeze,mfano kuifanya ardhi kuwa Mali ya umma, kuwaunganisha watz wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo tunataka turudi kulekule wakati ni ukuta watashindwa,kashindwa MWALIMU wataweza wao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuupata ukweli halisi wa history ya Tanganyika nje ya MWALIMU ni ngumu nyingi zimembeba MWALIMU kuliko wengine nadhani sababu kubwa ni ya yeye kuweza kumiliki kila kitu ikiwemo watu.Ndo maana mashuleni alisomwa yeye zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Udikteta una asili ya Kanda ya ziwa,angalia Uganda, Rwanda,Burundi, awamu ya kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True alikuwa aambiliki anajua kila kitu akutaka kupokea mawazo mbadala ya kujenga kama ilivo asili ya Kanda ya ziwa.Matokeo yake akafail kwenye uchumi, kabla ya Uhuru dola moja ilikuwa ni shilingi 10 ya Tz.Mfumo wa ujamaa kwa mwafrica haufai maana asili yetu ni uvivu bila mboko au kutengenezewa mfumo wa kujituma hatuendi.Mjerumani alijenga nchi kwa viboko kitu ambacho kilikuwa ni sahihi sababu iweje usipalilie SHAMBA lako likaota magugu utalishwa na nani.Alionywa na Kambona kuhusu kukumbatia ujamaa akayaona matokeo yake mashirika na mali za umma watu wakalamba yote.Amekuja kuelewa akiwa keshachelewa kwa kuharibu uchumi, ndo kinachokuja wataelewa kumbe kukaza vyuma kusomesha no ili kuwakomoa watu sio tija na tutaathirika wote.Kwa maana hakuna kiingiacho ziwa kuu,tuliowakopa wanataka chao,hatukopesheki tena tumefika mwisho.Miradi hailipi tena sababu purchasing power hakuna,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafa maskini kazikwa kienyeji; kaburi la udongo; just thinking kama wanafamilia watanikubalia basi nitalijengea. Huyu ndie balozi wetu wa kwanza nchini ui geleza baada tu ya uhuru wa nchi yetu 1961.Sidhani kama watanzania wengi wanajua h5istiria hii.
Ni history nzuri iifadhiwe waombe familia watakubali ulijenge kaburi lake lisipotee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaongezeka mmoja ufisadi, hatuwezi songa hakuna viashiria vya kusonga,hela inaenda kwa visivozalisha wala tija ya kujenga productivity mfano kuhamia dodoma,Marudio ya chaguzi za kuifurahisha kijani,itakuwa kila siku ni kurudia uchaguzi hadi 2025,ni kiasi gani tutapoteza.Zingetupwa kuwajengea uwezo wa kuzalisha vijana mfano kuwapa elimu ya Kilimo,ufundi,nk wakazalisha tungeweza kukuza pato La ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
History kama hizo yafaa mziweke wazi watu wapate history kamili ya Tanganyika sio ile ya upande mmoja.Inatakiwa watu wajue mchango wa Bibi Titi,Kambona, nk kwenye history ya nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli kwamba tuliwaondoa wakoloni, ni wao waliona ni hasara na gharama kubwa sana kutawala hivo wakaona ni vyema warudi kwao kwa kusimika vibaraka wao ( wakoloni weusi) ili waendelee kuinyonya Africa indirect. Maana tulitegemea kuuza mazao,madini,na raslimali zote kwao,na wao walitupangia bei, tishio kubwa kwao ni China ambae kajipenyeza Africa kwa uwekezaji wa dola billion 10,lkn ye akiwa ni mnufaika mkuu 80% ya uwekezaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alivipinga si kwamba hatukujiandaa,bali aliogopa changamoto, vyama vingi vimekuwepo hata kabla ya uhuru,soma history. Alivipiga marufuku hakutaka kupingwa kwa maana alikuwa anaamini kwa wakati ule kuwa anajua kila kitu,na aliwaogopa wasomi mfano tuntemeke SANGA,Kambona, Nk.Kwa sababu ya kujua kila kitu akafail kwenye uchumi, akaja kuelewa umuhimu wa kukosolewa akiwa keshachelewa kila kitu kimeharibika,mashirika,viwanda, Mashamba,miradi yote imekufa.Hata haya uyaonayo sasa yafanywayo na ccm ni sababu ya Presha za upinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapewa ubalozi huridhiki, unamwona aiyekuteua ni bwege, unaacha ubalozi ili uje umshugulikie, ukiwa ma paund 60,000 za kummaliza, akikugeuzia kibao eti dicteta. Mlitaka nchi iwe kama Somalia ili mradi tu Jamaa zenu waitwe marais
Sio wote tumbo kwanza, wengine watu kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni history nzuri sana japo zimefichwa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuntemeke Sanga
 


Kama tarehe ya uhuru iko hivi historia wazee itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…