Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

Status
Not open for further replies.
Hivyo kwa lugha nyepesi ni VVU hakuna.!

Ila UKIMWI upo.! Yaani unaweza patikana kwa mtu mwenye matatizo ya kiafya ikiwemo magonjwa na lishe.!

Ngumu kumeza_ ila kwenye asilimia hii hoja kwangu imechukua 75% na zilizobaki ni kwenye ile ya kumezeshwa.

Na nikienda kuhakiki kwa mtu mmoja ninayemfahamu kwa karibu akinihakikishia kuwa wanachowapima watu ni antbody na kirusi hakipo

Izo 25% nafuta kabisa.Na nakuwa balozi wa kutangaza HIV hakuna chini chini
 
Everyone loves conspiracy. ...
Mkuu ARV hata siku moja haisababishi AIDS mimi nina mfano hai wa mtu aloyetumia dose ya PEP ambayo basically ni ARV na baada ya kuacha yuko flesh tu na huu ni mwaka wa 5..

Sasa mkuu usiwadanganye watu wasimeze ARV watakufa kifo kibaya cha ukimwi..wewe kama hutaki kumeza washauri ndugu zako uone balaa litakalowakuta siku wakipata HIV alafu wakaacha kumeza ARV
 
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini hadi leo hakuna kipimo cha kupima uwepo wa 'VIRUSI VYA UKIMWI'? Badala yake tunapima uwepo wa 'ANTI-BODIES' ambazo mtu huzalisha mwilini hata akiwa anaumwa T.B au Malaria?
Mkuu una uhakika na unachokisema??
Kipimo cha kupima kipo sema bei yako ni kubwa ndio maana kipimo popular ni cha kucheki antibody ambacho kina specificity na sensitivity ya kutosha tu
 
Kwa conclusio yako nadhani wengi umetuacha na maswali maana unataka kutuambia ukimw haupo na endapo mtu akigundulika ana ukimwi basi ajitibu magonjwa nyemelez kisha atapona kabisa.
MKUU INGEKUWA RAHISI HVYO BASI TUSINGEZIKA WATU KILA SIKU
Nenda kaulize hao watu wamekufa kwa magonjwa gani exactly
 
Mkuu una uhakika na unachokisema??
Kipimo cha kupima kipo sema bei yako ni kubwa ndio maana kipimo popular ni cha kucheki antibody ambacho kina specificity na sensitivity ya kutosha tu
Hayo ni maneno ya huyo daktari hapo juu, anakwambia hakuna udhibitisho wowote kwamba virusi vya hiv vimewahi kukutwa kwenye mwil wa binadamu
 
Hayo ni maneno ya huyo daktari hapo juu, anakwambia hakuna udhibitisho wowote kwamba virusi vya hiv vimewahi kukutwa kwenye mwil wa binadamu
Mkuu mimi nina maneno ya vitabu zaidi ya 20 ambavyo vimeandikwa na madaktari wa pathology na microbiology ambao wanathibitisha HIV ipo...

Na kwa information yako tu kipimo kinaitwa PCR(polymerase chain reaction ) ambacho kina amplfy DNA za virus na kinaweza kudetect antigen za hiv na sio antibody tena...

Mkuu HIV zipo isingekuwa swala la ethics tu ningeomba tukutane nikuchome sindano yenye damu ya mtu mwenye HIV ili uje kuwapa mrejesho wadau baada ya muda...tatizo ni ethics
 
Nimewahi kusoma mada zake saaaaaaaaaaana ila sijawahi kuchangia, the guy anaongea the naked truth ila sababu timeshawekwa kwenye zone mbaya that's why tunampinga ila in reality there's nothing as UKIMWI
utakuwa unaupungufu wa ufahamu.....nakuomba siku moja tuonane theni nichukue damu ya mwenye virusi vya ukimwi nikuongezee kidogo halafu uangalie baada ya miezi kadhaa afya yako itakuwaje
 
mkuu nimekufuatilia sana ila nimegundua kuwa ni mtu unayependa kufuatilia vitu na hiki ndo kitu pekee kbsaa kinachompa mwanadamu free mind out of the hidden truth...lakini naomba nikupe elimu kidogo juu ya ulichobase kuwa kinachomua mtu siyo HIV/ AIDS make kinachomuua mtu ni T.b ,cancer i dont know and so fourth...but naomba nikulize kitu..unahisi wagonjwa wote wanaopimwa na kukutwa na HIV ni lazima walikuwa na TB,?? au mtu yoyote anayepimwa HIV tayari alikuwa na pre existing other diseases..?? unafaham kuwa mtu akipata HIV hudhoofika kinga ya mwili na ndo mana virus kapewa jina hilo likimaainosha Human Immunodeficiency Virus( HIV),manake nini..ukimpata kirusi huyu atashambulia CD4 cells ambazo ndo zinaactivate immunity ya mwili..cd4 ni kmaa sensor wa kuamsha mwili uzalishe kinga ya mwili..kwa hiyo zikipungua mwili nao unashindwa kusense na kushindwa kuzalisha kinga ya mwili... sibase sana kukubali au kukupinga but nataka utambue kuwa kuna magonjwa ambayo hayana uwezo wa kuja mwilini kama kinga yako iko imara,TB unayoizungumza ww inakuja endapo mwili utapata upungufu wa kinga,fungal pia huja mwilini kama kinga imepungua,ukiachilia hiyo kitu ,cancer inakuja kivingine kabsaa haina uhusiano na kinga ya mwili...cancer inacheza na abnormal proliferation ya cell na inaweza pia ikatokea kwa mtu mwenye upungufu wa kinga... nitaeleza kidgo inakuwaje mtu anayetumia ARVs akiacha anaweza poteza maisha kwa haraka zaidi...ni hivii..unapogundulika kuwa una HIV mwilini mwako na ukaanza kutumia dawa means kwamba dawa zitapunguza uwezo wa kirusi kuzaliana kwnye mwili wako na zinamfanya vizuri aundergo domant situtaion ya kusizi kidgo lakini kumbuka yule virus ana DNA ambayo kazi yake ni kusense kama kuna decrese in molecular structure ya ARVs kwwnye damu..ikipungua tu kiwango cha dawa kwwnye damu basi virus anaibuka na kufanya a milion repeated multiplication na kufanya titre value yake kuwa kubwa kiwango cha kushindwa hata kinga ya mwili iliyopo na mtu hufariki muda mfupi sana ...kitu kingine kinachomua mtu wa HIV bada ya kuacha kunywa dawa ni IRIS( Immune reconstitution inflammatory syndrome (IRIS) (also known as immune recovery syndrome) ..hii hali hutokea kwa mgonjwa wa HIV anayetumia ARVs kwa muda flani ambapo kinga yake ya mwili huaza kurejea na kuanza kugundua baadhi ya magonjwa nyemelezi kama T.B ,ambayo mwanzoni mwili ulikuwa umeshindwa kuyagundua kwa kushindwa kutengeneza kinga dhidi yake kwa hiyo mwili unarudi kwa kasi kupingana na hali hiyo lakini kurudi kule kwa kas huambatana na kuvimba kwenye ubongo na homa kali kali snaa ambazo humfanya mtu apoteze maisha...ni kama vile mtoto mdgo anapokuwa anagombana na mtu mzima pale anakuwa anachezea vitasa bila kupinga lakini akitokea mtu mwingine akampa kichwa na kumtia moyo kuwa unaweza pigana na kweli dogo akajikuta anapata nguvu na kumpiga ngumi moja ya uso yulr jamaa manake yule jamaaa atapata hasira sana hata kama atakuwa alikuwa anampiga kidgo kidgo dogo sasa pale atamzibua moja tu na dgo atakufa kabsaa..ndo inavyotokea kwenye IRIS kwa mtu mwenye HIV on ARVs ....kwa hiyo usiseme kuwa HIV haipo ,it ia there kwa sababu kuna tafiti zimefanyoka juu ya baaadhi ya ARVs japo sio zote zipo salama kwa mfano kuna dawa moja inaitwa Pep ( Post exposure prophylaxis) ambayo anapewa daktari aliyejichoma sindano kwa bahati mbaya akiwa anamfanyia upasuaji mgonjwa yoyote mwenye HIV/AIDS ili asipate maambukizi na ile dawa wanapewa pia watu waliobakwa ili kuzuia maambukizi kama mtu alikuwa haeleweki sero status yake..kwa hiyo imefanyika study kubwa sana ya kufuatilia follow up kwa watumiaji wa dawa ile na kuona wapo salama kabsaa kama walitumia dozi kwa muda mwafaka na kwa dozi sahihi..leo hii tungetegemea kuona madaktari na manesi ndo wakiongoza kwa kuwa na HIV make kujichoma wao ni jambo la kawaida ila huwa wanawahi fasta kuanza kutumia PEP ndani ya masaaa 72 ,waliopotezea kunywa dawa hiyo soon after kujiplick idad ndgo sanaa imeonesha kuwa aaliadvance into HIV infection..sasa huoni kuwa kuna coincidence juu ya hiyo kitu....ni kweli kuna umanzi kibao juu ya kuwepo kwa ugonjwa huu but none of the rumanzi imeweka sawia ukweli...ukweli ni kwamba hata Wizara ya afya wanapata kibali cha kugawa dawa tu lakini ukweli unabaki kuwa ni siri lakini tujr kwenye point of posirivity kuwa kama Pep imesave maisha ya kuwa exposed to HIV what is its differece from the other ARVs ambazo watu wanaclaim kuwa ndo zinazoua..? point of contradiction here...but
 
Acha uongo nani kakwambia PCR inaonesha Real Picture ya HIV???


Unamfahamu mgunduzi wa PCR?? DR. MULLIS ? Ngoja tukuwekee video yake hapa akikana hiyo mashine haina uwezo wa kupima Hicho kirusi. Hakuna kifaa chocho au electronic microscope iliweza kuona HIV ukiweza kunionesha picha ya HIV leo nitatembea uchi Dar Nzima.


Nakuahidi hilo. Acheni kudanganya watu kwa Elimu zenu za HOAX
 
Nimesoma ulichoandika nimeishia kucheka [emoji1] [emoji1]
 
Uwe unasoma kabla ya kuquote....hapo tatizo ni elimu yako sio yangu..
Mimi nimeandika PCR inaamplfy genetic material ya HIV kitu kinachafanya iwe detected tofauti na kipimo cha zamani kinachodetect antibody.

Sijaandika kuhusu kuona picha za virus
na kama elimu yako iko vizuri tusingekuwa tunabishana kuhusu kuona DNA au RNA za HIV
 
Aiseee...., hii video imenilipua ubongo na moyo, yaani najisikia hasira sana kwa jinsi tulivyo kuwa brainwashed toka tuko darasa la kwanza, nimesikia hasira sana!
 
somo zuri sana umetishaa
 
Wana twambia hivi sasa ukipima Tu unaanza kula mashudu. Itakuwa kuna kitu hapa. Kinacho shangaza Nina ndugu kaugua sana kupima anao. Kurudia baadae hana ila kaambiwa asiache kula mashudu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti mashudu hahaha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…