Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

Mhuni kama wahuni wengine1 Hatari sana tena sana. Huyu kweli anaongoza watu! Nchi hii Mungu aiangamize aiumbe upya na viumbe wapya
 
Dc mzuri Sana tatizo lake lipo kichwani hamna kitu

Sura sio issue. Sana maana hapa Tatizo watu vichwani hamna kitu empty mind
 
Lenie na Satoh Hirosh mnajifanya Hanania nq Safira sio?
Mmepatana kumsagia mzee wa hawavumi lkn wapo?🤣🤣🤣
Aah yule mzee sio bana, anawachuza wenzake wajione mastar kumbe hamna kitu😂😂

Kuanzia muonekano, na nyimbo zao ugolo mtupu
 
Njoo na daktari wa mbavu chap! [emoji1787][emoji1787]
 
Dahh we jamaa nimecheka sana baada ya kuvuta kumbukumbu ya mtangazaji nikioanisha na uzi wa DC.

Maisha bila unafiki hayaendi mkuu
 
Huyu hapa bwana, sijui huwa anafikiria nini kusema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…