Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
kazee kaizi hakaHuyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
๐๐พ Azam Energy
๐๐พ Azam cola
๐๐พ Azam Embe
๐๐พAzam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.
Pia sidhani kama anatumia
๐๐พ nazi za Azam
๐๐พ Azam sugar
๐๐พ Hata kuonja ukwaju wa Azam
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa
View attachment 3060514Happy birthday
Lugha chafu humu mwiko,kwani wastaarabu tumejaaaamooo.Naomba nifaham jinsia ya kikojoleo chako kabla sijakujibu tafafdhari
Sawa mama.Lugha chafu humu mwiko,kwani wastaarabu tumejaaaamooo.
Kwani weye chawa?Sawa mama.
M ni mdimu mkata shombo...vipi umejipanga vizur kujibizana na mm au tuishie hapa...Kwani weye chawa?
Hayo tunawaachia wajukuu wanaa wa kilee chama chakavuM ni mdimu mkata shombo...vipi umejipanga vizur kujibizana na mm au tuishie hapa...
Sasa utaki ama unazan mimi ni kijana wa hovyo wa 2000๐คท๐ฝโโ๏ธUna miaka mingapi paka unamuita Bakhressa kijana wako?
Sijakataa mzee nimeulizaSasa utaki ama unazan mimi ni kijana wa hovyo wa 2000๐คท๐ฝโโ๏ธ
Apo kwa muhogo mchungu sikupingi.Jakaya miaka yake na alivyo ni tofauti
Yule Mzee bado analipa sanaaa
Yeye na Muhogo mchungu wapewe tuzo.
Nini sasa fundi maiko๐๐Unalipwa
N kweliWengi wa Mikoani hawajawahi kumwona live!
Kaka unasifia mno banaNini sasa fundi maiko๐๐
UmetiShaaaa๐๐๐๐๐ฝ๐๐ฝUmesahau ongeza pia hajawai kuichezea azam fc
Una miaka mingapi paka unamuita Bakhressa kijana wako?
Ad nasema ivyo i mean nimempita age wewe ndio uwe na adabu๐คMmhh unamwita Mzee SSB kijana wako? Mbona kama adabu umekosa, au una miaka 90 kwenda juu?
Udongo uliomuumba baba yangu ubarikiweKwanini anawahi kuzeeka wakati pesa ni nyingiii, nilidhani ana 90+
Udongo uliomuumba Jakaya ubarikiwe