Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
kazee kaizi hakaHuyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa, Mtu tajiri sana hapo Tanzania ambaye leo anasherehekea miaka 75 ya kuzaliwa.
Mpaka sasa, Bakhresa sidhani kama amewahi kunywa:
👉🏾 Azam Energy
👉🏾 Azam cola
👉🏾 Azam Embe
👉🏾Azam Malta
Bakhressa hajawahi ku motivate vijana wa Kitanzania kupitia media zake.
Pia sidhani kama anatumia
👉🏾 nazi za Azam
👉🏾 Azam sugar
👉🏾 Hata kuonja ukwaju wa Azam
Soma pia: Bakhresa
Soma pia: Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa
View attachment 3060514Happy birthday
Ebu mtu anipe proof urojo unawezaje kumfanya mtu awe billionea