Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
SaWaSijakataa mzee nimeuliza
Kwani kuna shido😂😂Kaka unasifia mno bana
sawa mzeeUkipewa chai, tafuta vitumbua...
Hapo ndio napokushusha vyeo ahaha ahahahKwani kuna shido😂😂
😂😂😂😂😂😂😂Hapo ndio napokushusha vyeo ahaha ahahah
Yaani soon utakua kijana hovyo wa hovyo mkuu😂😂😂😂😂😂😂
Udongo wa jakaya ndio uliniumba mimi na Pharel Williams,nina miaka 50 but looks like 30Kwanini anawahi kuzeeka wakati pesa ni nyingiii, nilidhani ana 90+
Udongo uliomuumba Jakaya ubarikiwe
75 ni kijana!!Huyu ndiye kijana wangu Said Salim Bakhresa,
Wewe ndio RIZII?Udongo uliomuumba baba yangu ubarikiwe
Kwangu sio kwako!!75 ni kijana!!
Baada ya kumuona hali yako ya kiuchumi imeimarika vipi hapo Buza kwa Mporipori.Wengi wa Mikoani hawajawahi kumwona live!
Unafikiri kuumiza kichwa kwa Jakaya kunaweza kufanana na kwa bakressa?Kwanini anawahi kuzeeka wakati pesa ni nyingiii, nilidhani ana 90+
Udongo uliomuumba Jakaya ubarikiwe
Yule mzee utamu [emoji3][emoji3]Darasani walikuwa 42 wamebakia wawili tu mzee said bahresa na mzee Hidari wa clubhouse [emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa kichwa cha huyo jamaa kilivyo sidhani hata kama kuna ubongo humo!Na mpaka sasa hajapata magojwa ya wazee kutetemeka mikono kupoteza kumbukumbu kisukari na Mambo mengine kama hayo.... kuanzia leo naacha pombeView attachment 3060515
KwannTulikaa kinyonge sana TAJIRI.