Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Bongo kuna Godlove , vunjabei , Nanauka yaani wana kelele kila siku mpka unaona ni washamba...Utajiri haufundishwi ila biashara sawa .
Kuna Fernabdes wa Nala huyu ndie tajiri ajaye pale Top 10, yupo kimya hana vurugu ila kweli Vunjebei acha kelele na ushamba
Kuna Fernabdes wa Nala huyu ndie tajiri ajaye pale Top 10, yupo kimya hana vurugu ila kweli Vunjebei acha kelele na ushamba