π π π π π ila BARCELONA.TUNABAHATI SANAMajamaa yanasindikiza kwa macho tu
Daaaah tumsainishe fastaPerday mkuu nimechapia
akileta nahamia kwa hawa jamaaLete na zile picha za fainali kati ya Juve na Barca uone kama huyo Mzee ni kawaida yake kulia
Rivaldo kruyf Bebeto nakadhalikaπ π π π π ila BARCELONA.TUNABAHATI SANA
Riquelme Ronaldo Maradona Gaucho Messi daaaah hii timu inakismati sana
oooohi niliwasahau haswa huyo RivaldoRivaldo kruyf Bebeto nakadhalika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msumali wa moto, alafu huyu lazima atakua shabiki wa Mwanitesa yunaitediakileta nahamia kwa hawa jamaaView attachment 522091
View attachment 522089Kweli kabsa mwisho wa siku ni mataji
umelenga kwenyewe kaka π π π π[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msumali wa moto, alafu huyu lazima atakua shabiki wa Mwanitesa yunaitedi
Mkuu,Hutu mbilikimo mnamuoverate tu ila hakuna kitu na ndio maana anang'ang'ania kuchagua kuendelea kuwepo alipo sababu nje ya hapo ni majanga,Hugo hamzidi hata lunyamila wetu mkuu
hapa ni nje ya barca haya mambo king messi hajaanza leo.
Hahahaaaaaaaaa,Huyo mbilikimo nje ya barca hata lunyamila wetu ana afadhali
Hahahaaaaaaaaa,Huyo mbilikimo nje ya barca hata lunyamila wetu ana afadhali
ha ha ha ha umeanza kumwaga povu mkuu
Route za Morocco hazijawahi kumuacha huyu jamaa salama, mashabiki mnamuunga mkono Punga ina maana mnathamini Upunga
We unakataa Ila mwenzako anapigwa rivasiHahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
hapa ni ndani ya barca au hapa
We unakataa Ila mwenzako anapigwa rivasi
π π π π π π π π π π π
Route za Morocco hazijawahi kumuacha huyu jamaa salama, mashabiki mnamuunga mkono Punga ina maana mnathamini Upunga
Hahahaaaaa,mkuu unajitahidi sana kuungaunga vipicha kutoka barca TV ,sa hapo unategemea nn,nenda real Madrid TV,Manchester united TV au sporting Lisbon TV umfuatilie huyu kiumbe ndo utajua sio wa sayari hii,hicho kimbilikimo kishakrem kikiwa barca kimpigie pasi nani,huko kwa ronaldo hakuna hicho, anatumia bongo ya kuzaliwa tu sio hadi iniesta amkadiriee