Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Huyu ndiye Lionel Andres Messi (Best Player in History)

Majamaa yanasindikiza kwa macho tu
😀 😀 😀 😀 😀 ila BARCELONA.TUNABAHATI SANA

Riquelme Ronaldo Maradona Gaucho Messi daaaah hii timu inakismati sana
 
Lete na zile picha za fainali kati ya Juve na Barca uone kama huyo Mzee ni kawaida yake kulia
akileta nahamia kwa hawa jamaa
18951060_837078746468662_8131426717392671255_n.jpeg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msumali wa moto, alafu huyu lazima atakua shabiki wa Mwanitesa yunaitedi
34b31dc5a9232c9590612f92df3ee4c1.jpg
umelenga kwenyewe kaka 😛 😛 😛 😛
47848b0d92b6aa7f81314e7891aeb6ac.jpg
huyo ni man u damu na alihamia madrid na mmoroko
 
Mkuu,Hutu mbilikimo mnamuoverate tu ila hakuna kitu na ndio maana anang'ang'ania kuchagua kuendelea kuwepo alipo sababu nje ya hapo ni majanga,Hugo hamzidi hata lunyamila wetu mkuu
e573cf1e81e3943dde61f655f201a6a6.jpg
ha ha ha ha umeanza kumwaga povu mkuu
 
e573cf1e81e3943dde61f655f201a6a6.jpg
ha ha ha ha umeanza kumwaga povu mkuu

Hahahaaaaa,mkuu unajitahidi sana kuungaunga vipicha kutoka barca TV ,sa hapo unategemea nn,nenda real Madrid TV,Manchester united TV au sporting Lisbon TV umfuatilie huyu kiumbe ndo utajua sio wa sayari hii,hicho kimbilikimo kishakrem kikiwa barca kimpigie pasi nani,huko kwa ronaldo hakuna hicho, anatumia bongo ya kuzaliwa tu sio hadi iniesta amkadiriee
 
9a9c25c4bf136590875511e4fbe54a80.jpg
e2494a2eba01d3797167decd8a14e349.jpg
5d7363cec05d42a1640f474fc103a4ce.jpg

Route za Morocco hazijawahi kumuacha huyu jamaa salama, mashabiki mnamuunga mkono Punga ina maana mnathamini Upunga

Hahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
 
Hahahaaaaaaaaaaaa,Photoshop pics hazijawahi kumwacha MTU salamaa,mbilikimo atabaki kuwa mbilikimo tu,hata lunyamila hamuweze itakuwa CR...,huyo sio wa sayari hii mkuu
We unakataa Ila mwenzako anapigwa rivasi
 
37e6bef093d790366a303452a5c85228.jpg
hapa ni ndani ya barca au hapa
1b6592aecea944dfc6d88e4e4e99f7b3.jpg

Mwisho wa sikuuuuuu,trophless,hapo ndipo msipoelewa mashabiki wa mbilikimo,ukipiga makanzu,matobwa n.k halafu huchukui makombe inasaidia nn sasa,mbilikimo ni akili ndogo kama kilivyo kimo chake mkuu
 
9a9c25c4bf136590875511e4fbe54a80.jpg
e2494a2eba01d3797167decd8a14e349.jpg
5d7363cec05d42a1640f474fc103a4ce.jpg

Route za Morocco hazijawahi kumuacha huyu jamaa salama, mashabiki mnamuunga mkono Punga ina maana mnathamini Upunga
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Hahahaaaaa,mkuu unajitahidi sana kuungaunga vipicha kutoka barca TV ,sa hapo unategemea nn,nenda real Madrid TV,Manchester united TV au sporting Lisbon TV umfuatilie huyu kiumbe ndo utajua sio wa sayari hii,hicho kimbilikimo kishakrem kikiwa barca kimpigie pasi nani,huko kwa ronaldo hakuna hicho, anatumia bongo ya kuzaliwa tu sio hadi iniesta amkadiriee
af8370416559c9fe14ed3308050d9762.jpg
hapa alipigiwa pasi na nani 😛 😛
 
Back
Top Bottom